Nataka simu mbili ziwasiliane

Nataka simu mbili ziwasiliane

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
16,649
Reaction score
16,930
Habari zenu wana JF, nina room mbili ambazo nataka watu waweze kuwasiliana kwa kutumia simu za kawaida (landline) ila sina ufahamu wowote juu ya nini natakiwa kununua tofauti na extension mbili, yani the cheapiest way as possible. Nmesikia kuhusu kitu kama PBX but i dont wanna go for that. Its like i want plug and play or something like that. Any advice will be helpful to me. Thanks in advance
 
Back
Top Bottom