ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,076
- 17,463
Unafanya kazi nzuri sana mkuu kufukua hizi kaburihatuogopi jee wewe ulihakiwa??
Unafanya kazi nzuri sana mkuu kufukua hizi kaburihatuogopi jee wewe ulihakiwa??
Kada vipi tena?Nataka rais Magufuli ashindwe.Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Kaka Nyani Ngabu, nini kimetokea hata leo utukejeli sisi 'watu wa mtandaoni'?
Kada vipi tena?
Makaburi haya noma sana maana huwavua watu nguohehehe safi wanafki wa jf wanaonekana waaaz kabbisa uzi zinawaumbua
Julius Magembe aka Nyani Ngabu anataka ngosha mwenzake ashindwe
Hili ndilo bandiko la mwisho huyu jamaa kumkosoa Rais, mengineyo tunayashuhudia wote humu mtandaoni, ni sifa kwa kwenda mbele. Sasa yeye na wanaonunuliwa sijui kuna tofauti gani. Kumbe alikuwa na price tag?!!!
Reasoning with these people requires that you take the passion of a madman. Yaani mantiki rahisi Sana katika hoja hawaelewi kabisa.Makamanda mna akili ndogo sana.
Reasoning with these people requires that you take the passion of a madman. Yaani mantiki rahisi Sana katika hoja hawaelewi kabisa.
Nakazia hapa..!Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Hata wale wa Corner Bar sio vigeugeu wa kiwango hiki. Hovyo kabisa!Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje
Hata wale wa Corner Bar sio vigeugeu wa kiwango hiki. Hovyo kabisa!
Kuliko zako za kichangudoa?Makamanda mna akili ndogo sana.