Nataka Rais Magufuli ashindwe

Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Mmh, ushindwe weye usitake kutuchochea kama kuni alafu wee uote moto sie wengne hatuna milion 10 ya dhaman sembuse ya kuweka wakili
 
Nope.

Msimamo bado uko palepale.

Ikija kwenye demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa watu kujieleza, bado nataka Magufuli ashindwe kama nia na malengo yake ni kuviminya.

Lakini sitegemei uelewe nilichokiandika hapo....
What a coincidence!
Sitegemei utanielewa. Tukubaliane tu kwa hilo Mkuu
 
Ukileta maada ifafanue kiumakini kuanzia title. Sasa unavotwambia ashindwe unamaanisha nini? Kuna kushidwa kwa aina nyingi. Kabla mtu hajaingia kusoma ulichoelezea ndani ya topic yako basi anatakiwa ajue from the scratch. Anaweza akashindwa kumgonga mama yako, akashidwa kutembea na mke wako, akashindwa kukugonga Wewe. Heading ama title ijipambanue. By the way Magufuli ni Rais. Hivyo akishindwa maana wote tumeshindwa.

Kama huna cha kupost usiingie jamii frorum mbwa we. Na ukinijibu nakutiririkia mpumbavu wee. Huwezi kumkashifu Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
c1fb8528d8428a2493c7ac15f0584db4.jpg
 
Mtamwelewa tu...Lisu mwenyewe anamwogopa....press conference zake zinajieleza..huwa anstutuma anayo ongea tumwambie Rais...
Mshindwe na mlegee magufuli viva
 
NN ulichokipost wakati huo ulikuwa unamaanisha nini? na sasa ni nini kimebadilika?
Nilikuwa namaanisha aache watu wawe huru.

Hakuna sababu ya kupiga marufuku mikutano ya kisiasa. Hakuna sababu ya kuwakamata na kuwanyanyasa wapinzani. Hakuna sababu ya kuvifungia vyombo vya habari na kuwanyanyasa wamiliki wake.

Kwenye hayo nataka ashindwe.

Hata kwenye kupiga marufuku wanafunzi wa kike wanaopata mimba kurudi mashuleni nataka ashindwe.

Kumtaka ashindwe kwenye hayo haimaanishi namtaka ashindwe kwenye kuinyoosha nchi hususan kwenye ufisadi na kuleta nidhamu kwenye ofisi za serikali.

Ndo maana nikiona kapatia kwenye jambo fulani nampongeza. Nikiona kakosea, nampinga.

Kigumu kuelewa hapo ni kipi?
 
Ukileta maada ifafanue kiumakini kuanzia title. Sasa unavotwambia ashindwe unamaanisha nini? Kuna kushidwa kwa aina nyingi. Kabla mtu hajaingia kusoma ulichoelezea ndani ya topic yako basi anatakiwa ajue from the scratch. Anaweza akashindwa kumgonga mama yako, akashidwa kutembea na mke wako, akashindwa kukugonga Wewe. Heading ama title ijipambanue. By the way Magufuli ni Rais. Hivyo akishindwa maana wote tumeshindwa.

Kama huna cha kupost usiingie jamii frorum mbwa we. Na ukinijibu nakutiririkia mpumbavu wee. Huwezi kumkashifu Rais

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom