KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 91
Siamini kama haya yaliandikwa na huyu au ni bahati mbaya
Mi Africa ndo tulivyo!Siamini kama haya yaliandikwa na huyu au ni bahati mbaya
That was then.Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Kashabadili msimamo kama madiwani wa cdm waliojiuzulu, ni balaa. Mimi na moyo wangu wote naichukia ccm, na siji badili msimamo kama mtoa mada.Mim kwa kweli naungana na mkuu mtooa madaa,,maana huyu rais anataka kwanz kujimilikisha na kujipa pawa ya kufanya kila analotaka wakt wananchi nao wanamaoni yao,,kwahilo ashindwe tuunganishe nguv zetu kumpinga mshenzi huyu hana akuli
Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
Nakuunga mkoa Dsm mpaka Tunduma,kajamaa kana roho mbaya kama kipara chake anakataa mikutano ya hadhara ili iwe kama chama kimoja no way hatukubali,tena usijiumize kichwa anashindwa hata kuongeza mshahara kwa wafanyakazi wa umma,Mashirika yako hoi anabana pesa za quarter hadi mashirika yanashindwa kuendeshwa wakurugenzi wake wa mwendo kasi wameanza kushindwa toa majibu,pesa anapeleka wapi,kwahiyo cnn wakimuuliza na wewe tatizo ni nini atakimbia,eti serikali ya viwanda wapi,ameshindwa,huwezi kuwa msukuma wa mipasho no way.Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Hee kaanza kula za Wahindi ndo maana kamuacha dogoAlipelekewa pesa na Makonda ameufyata wazazi wa mleta mada wana hasara kuzaa toto la hivi, kigeugeu.
Mimi niko hapa Toronto na Montreal,fry over kila kona ya gari,yeye anashangaa hata kamoja ka Tazara kanamtoa jasho,ngoja nile zango Donair za mamtoni,siku ikifika napita zanguTuendelee kujulishana jinsi hali inavyoendelea huko nyumbani mimi niko safarini naelekea Cambodia.
Kwa wataalamu wa lie control,body language inaonyesha kashakoswakoswa na Majanga mengi so,anafikiri watu millioni 55 ni njiti za kiberiti cha kunyenyua na kushusha,Huyu na Trump hapo Marekani hakuna Tofauti.Anajiona ana akili sana, anajiona malaika asiyejaribiwa, anajiona ana nguvu sana, ukimuangalia vizuri usoni wakati anaongea utagundua kuna kitu hakipo sawa
Hivi hii thread aliandika Nyani au kuna watu walimwandikia? Maana kwa kweli akili ya mtoa mada na Magu zinashabihiana mno!
Kashabadili msimamo kama madiwani wa cdm waliojiuzulu, ni balaa. Mimi na moyo wangu wote naichukia ccm, na siji badili msimamo kama mtoa mada.
That was then.
Sasa upepo umebadilika. Unataka washindwe wanaomkosoa Magufuli.
Muda husema ukweli!
Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali.
Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo yajayo kuhusu uminywaji wa hii mitandao na haki ya watu kuitumia kwa kujieleza, kutoa maoni, na kuikosoa serikali.
Sasa kitendo kilichotokea jana cha kukamatwa kwa Max kimethibitisha kuwa huu utawala wa Magufuli umeazimia kutuziba midomo kwa kutumia mabavu ya dola.
Kwa hilo mimi nataka huyo Magufuli ashindwe na alegee kabisa. Sitaki kabisa afanikiwe hata kidogo na watu wote wenye akili zao timamu hawana budi kumpinga na kuifanya hiyo azma yake iwe muhali.
Kupinga udhalimu ni jambo la adhama. Na huyu mtu tayari keshaonyesha dalili zote za udikteta. Hivyo tumpinge kwa pumzi na nguvu zetu zote. Kwanza ni mtumishi wetu na si vinginevyo.
Hizi siyo zama za kupelekeshana kwa vitisho. Haogopwi mtu zama hizi.
Akichemka tutamkosoa tu. Akichapia Kiingereza tutamcheka tu. Kama hana ngozi nene ya kuweza kumudu na kuvumilia kuongelewa kwa namna yoyote ile basi aondoke. Aachie ngazi.
Mtu mwenyewe kwanza hafai kuwa rais. Hana haiba ya urais, hana hekima wala busara zinazotakiwa mtu wa kiwango cha rais kuwa nazo. Kila akifungua mdomo wake mtu unaanza kuombea asiongee maneno ya kuaibisha.
Sikuwahi hata siku moja kudhani kuna mtu angekuja kumpiku JK kwenye ubomu lakini ndani ya mwaka tu huyu jamaa keshamuacha mbali mno JK. Pata picha hiyo miaka minne iliyobaki hali itakuwaje.
Huyu mtu tumdindie. Tukinywea atavimba kichwa na kujiona ana nguvu nyingi ilhali hana. Hana nguvu za kuweza kuzidi nguvu ya umma.
Kwa hiyo mimi nataka ashindwe. Tena ashindwe vibaya. Je wewe mdau wasemaje?
Hii ni ya NN??
NN naona acciunt yako ilidukuliwaNaam.
Ya NN yule yule wa siku zote kwa zaidi ya muongo mzima humu JF.
Unajitekenya kisha unacheka mwenyewe tu hapo.Nazi haiwezi shindana na jiwe.Kishashindwa huyu siku nyingi na ushahidi wa kushindwa kwake uko wa kutosha tu sasa kabaki kumbwela mbwela hasira, vitisho na udikteta uchwara huku nchi ikiendelea kuangamia.