Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni double standards.Ingekua sheria zinatumiwa sawa kwa kila upande haina tatizo.Ni Mara ngapi viongozi wa upinzani wanadhalilishwa na kutungiwa stories za uongo halafu hakuna ufuatiliaji kama akifanyiwa hivyo wa upande wa serikali na chama tawala?
Haya ningeyaunga mkono kama sheria zingekua zinatumika kwa wote na haki sawa
 
Mimi natamani January makamba, nape nnauye na wote walioshadadia sheria ya mitandao wafe tuwazike tumalize shida. By the way nna maono watakufa soon

Na jela siendi na nisharopoka maono ya Lema

Mmmmh [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
hakuna marefu yasiyo na ncha. wenzetu wakenya wanatucheka jinsi ambavyo huku tunanyanyaswa ukijifanya unamsema mtukufu au serikali yake. tumempa urais as sisi ndio maboss wake haipaswi kumtreat boss wako hivyo.

ingekua ivyo jela za marekani zote zingejaa watu kwa jinsi wanavyojua kuropoka ropoka
 

Ameshafanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.Na tunategemea anytime atavunja vyama vyote vya siasa kitabaki CCM tu
 

Umasikini na kukosa Elimu kwetu.Kama mtanzania anaona sahihi kwa kijana wa upinzani uuawa na kufurahi hilo unategemea Kenya wasitucheke?
 
Angekua siyo chaguo la Mungu asingekua Rais hakuna haja ya sababu 4 hapo.Alafu unazi ndiyo kitu gani?
 
Unajua huyu hakumbuki historia ya marais waliokumbana na nguvu ya raia na hatimaye kukimbia au kujiuzulu. Tatizo la baadhi ya marais wa afrika pindi wanapoingia madarakani hajifanya wao ndio mabosi badala ya raia waliomchagua kuwa mabosi utasikia wanasema nimechaguliwa kuwatumikia watu wote wakati si kweli. Huwezi kuwatumikia raia ambao kila kukicha unawapa vitisho .
 
tena ashindwe na alegee nyang'a nyang'a kwa kuondoa uhuru wa kuongea. hivi mbona jk alikuwa anachorwa hadi picha anawekwa manyonyo lakn mambo ya kukamatana hayakuwepo. khaaaa!!
 

Mkuu hauogopi kutiwa kwenye sandarusi na na jiwe kubwa kiunoni,,,then unatoswa kunako bahari,,,....ni hatari kwakweli
 
Huyu rais nilidhani angekuwa wa maana kumbe bora mpenda safari Kikwete. Huu udikteta angeupeleka kwenye mambo ya msingi angefanya la maana sana. Seems hana shughuli anazi create kama Mjinga mjinga yule taahira Paul Makonda

Mmh
 
Angekua siyo chaguo la Mungu asingekua Rais hakuna haja ya sababu 4 hapo.Alafu unazi ndiyo kitu gani?
Pole sana siji hapa kufundisha mtu mzima maana ya unazi.

Naomba nihitimishe kwa kukuambia kuwa sio kila mtu ashikae madaraka na wadhifa ni chaguo la Mungu,usije ukakariri hivyo ,kuna viongozi wameingia madarakani kwa mapinduzi yaliyouwa raia wengi na kuacha familia maskini na zenye upweke.

Uongozi una mambo mengi ya giza usiyoyajua utaendelea kuimba chaguo la Mungu kama hujaona katika wa roho na imani yako ikiwa ndogo itapelekwa pelekwa kama chombo baharini.

Nimekuomba uainishe hata vitu vinne vinavyoonesha kama kuna mkono wa Mungu umeshindwa "kila la kheri katika imani yako ila mtafute sana na mjue Mungu na kazi yake na watu wake jinsi walivyo kisha angalia na kauli yako".
 
Umasikini na kukosa Elimu kwetu.Kama mtanzania anaona sahihi kwa kijana wa upinzani uuawa na kufurahi hilo unategemea Kenya wasitucheke?

issue sio elimu. ni mfumo wa uendeshaji wa siasa wa nchi yetu hii ndo unafanya watu wawe mabubu kwenye mambo yenye tija ya taifa. sababu ukiongeaa ongea mara umeng'olewa meno bila ganzi. mara huonekani so wanavyofanya mambo huwez mtu kukubali kuongea ongea ilihali unajua kuna impact gani mbeleni. naona mtukufu anataka kuchukua tabia za mu7 au kigame
 
Mpaka pale madaraka yake yatakapokoma ndiyo ataacha kua chaguo la Mungu na si vinginevyo.
 
Hatuwez kuwa na taifa la kambale lilikosa nidhaamu wakat unadai au unatimiza haki yako ya kikatiba ni lazma sheria na taratibu zizngatiwe uhuru usio na mipaka ni vurugu huwez kukurupuka baada ya kula maharage yako huko uje utukane watu kwa kigezo eti unakosoa pumbafu sana...
Watu kama nyie ndio wa kufundisha adabu naona baadh ya wazaz wanashndwa kutimiza majukum ya kulea watoto na kuwaachia mabeki tatu matokeo yake ndio kutuletea wapuuz kama mtoa post na genge lake...
..MAGU TUNYOOSHE TU BABA MWENDO HUOHUO AU ONGEZA KIDOGO..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…