Congratulations, have you propose to her already or this is what you plan to do when you ask her that question......... will you....... me?
Halafu akujibu kwa sauti nyororo inayosindikizwa na tabasamu kubwaaa yeeeeesssss....
Ila uwe makini, huyo mwanaume anayetembea ndani ya huo mzunguko wa kopa wakati wewe unatangaza nia kwa mbeibe wako, yawezekana akavuruga mahusiano yako maana sio tuu kavuruga picha pia kaondoa concentration kwa walioweka uzio wa kopa.
All the best ..!
Its Kasie again.
One the lady I adimire.
I love you Kassie
huhuhuhhhhh , that is my lovely shem and you are probably my wifi.Hahahahahaaa
Waalaaah, Le Mahabat wa Kasie hata sio siri mbona anajulikana sana tuu.... wataka nirudie kumtaja hapaa?
Maadam haina madhara, Le Mahabat wa Kasie ni...... Daby ♡♡♡
Kama ni wako pole maana utakuwa ushaachwa au ndo kaniacha mie kaja kwako...... ngoja aje aweke msisitizo hapa.
Ila naona unamuita shemeji, natumai haulagi.... au hainaga ushemeji... hehehehehe
Gooday miss.
huhuhuhhhhh , that is my lovely shem and you are probably my wifi.
Welcome home kule kwetu tunasema boma.
Daby mbona imekuwa siri sanaaaaaaa
hongera mkuu maana kuna wengine najua umewaliza
Umeona Yule mgombea wa uraisi kule France mambo yake?Subhai.....!!! Kulikoni?? Heheheheee kila nikisoma jina lako sumbai huwa akili inaniletea neno la kimasai subhai... sijui kwanini.... nisamehe tuu kama nakukwaza kukuita subhaii.
Naona umerudia post ya pili kuweka msisitizo hahahahahaa.....
Licha ya kuhisi una uzoefu nao ila ujue kusema maneno haya tena kwa msisitizo (kuwa wazee ni watamu) unawafanya waschana wapate msongo wa mawazo kuwa he wao sio watamu au wao ni watamu zaidi? Au na wao waanze kujifanya wazee ili wawe watamu...
Unajua kuna waschana ushawapa stress hapa ya kuutamani uzee ili wawe watamu heheheheheheee shauri yako watakununia na kukuchukia.....
Haya wacha kizee mie niendelee kufaidi na Le Mahabat wa Kasinde aka Kasie.
Umeona Sasa........kijana wangu katulia. Kama maji ya mtungi.....Hahahahahaaa
Waalaaah, Le Mahabat wa Kasie hata sio siri mbona anajulikana sana tuu.... wataka nirudie kumtaja hapaa?
Maadam haina madhara, Le Mahabat wa Kasie ni...... Daby ♡♡♡
Kama ni wako pole maana utakuwa ushaachwa au ndo kaniacha mie kaja kwako...... ngoja aje aweke msisitizo hapa.
Ila naona unamuita shemeji, natumai haulagi.... au hainaga ushemeji... hehehehehe
Gooday miss.
hahahahahaha, le Wi - Fi la ukweli eeeeh, waiting to have a privacy meeting to brief you about our BOMAHahahahahaaa hapo hakuna probability ni fulu wulu wifi aka Wi-Fi.
Kina nani wamelizwa tena? Walizwe kwa lipi?
Basi kumbe ulikuwa likizo, haikuwa siri hata kidogo alishawaambia hata dada zake wengine.
Asantee kwa hongera... hongera nawe kupata Le Wi-Fi... hehehehe
Hapo kwa wazee mbona kama sielewi vizuri dogo? please expandooooooohUmeona Yule mgombea wa uraisi kule France mambo yake?
Wazeee wakina Kasie Ni tulizo la moyo..... Utatulia tuu.....vijana wakike njaa nyingi hawana uzoefu...
Umeona Sasa........kijana wangu katulia. Kama maji ya mtungi.....
Mahaba mubasharaa.....
Shem haha...Huyo Le mahabat bado ni siri eeeh, usije kuta wangu kaja kwako na mbwembwe zote hizo halafu mie nabaki kuchekelea uzi.
nauliza tu Mkuu
Cc. Daby shem wangu nisaidie mawazo
Really!The lucky guy is lucky
Haha mamy nitasemaje sasa mimi.Hahahahahaaa
Waalaaah, Le Mahabat wa Kasie hata sio siri mbona anajulikana sana tuu.... wataka nirudie kumtaja hapaa?
Maadam haina madhara, Le Mahabat wa Kasie ni...... Daby ♡♡♡
Kama ni wako pole maana utakuwa ushaachwa au ndo kaniacha mie kaja kwako...... ngoja aje aweke msisitizo hapa.
Ila naona unamuita shemeji, natumai haulagi.... au hainaga ushemeji... hehehehehe
Gooday miss.
Haha ulivyoiwahi sasa kama yako inaraha yake eeeh!Ooh really.... thanks on his behalf.
Le Mahabat wa Kasie uko wapi? Somebody says you are lucky....
Mkuu asante hata matapu tapu mimi napiga tu... hata makatabreak nabunyua chaliakeMkuu Daby popote ulipo chukua kaGordons nakuja kulipa
Umeona Yule mgombea wa uraisi kule France mambo yake?
Wazeee wakina Kasie Ni tulizo la moyo..... Utatulia tuu.....vijana wakike njaa nyingi hawana uzoefu...
Umeona Sasa........kijana wangu katulia. Kama maji ya mtungi.....
Mahaba mubasharaa.....