Nataka niuache udomo zege nimechoka

Nataka niuache udomo zege nimechoka

Mimi siwezi kulewa naona njia pekee itayonisaidia ni kuwambia wazee wanitafutie mke
Naamini inawezekana ukiamua na ukidhamiria. Jitahidi kuongea na mwanamke uso Kwa uso
Kwa mara ya kwanza itakusumbua lakini itazidi kukupa ujasiri japo kidogo
 
Tulia watakutongoza wenyewe.
Mfano mpaka sasa tangu January nimetongozwa na mademu wawili nikaona nihame mtaa, mwaka jana pia mademu wawili, cha ajabu wanaonitongoza siwataki, nionawatongoza mie wengi wao hawanitaki, hiki ndo kinachonishangazaga duniani.
 
Na ndio inavokua wale mademu uliokua huwataki ndio wanaokutongoza na uliokua unawataka hawakutaki
 
Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na family kama ilivo kawaida kwa kijana wa kiume
Huo sio udwanzi. Mimi huo unaouita udomo zege umeniongezea siku za kuishi tena zenye furaha tele.

Nimetukanwa sana na agemate (wakike kwa wakiume)enzi hizo lakini sikujali. Wao walikuwa hawazioni faida nilizokuwa napata kwa kuutunza uvulana wangu kwa sababu akili zao zilikuwa corrupt kuamini kwamba uasherati ni ushujaa.

Hata hivyo,Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke/Mume wa kupewa na Mungu

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Shida yako unawawazia mabinti kama watu fulani hivi wa tofauti, kumbe ni binadamu tu kama wewe, relax and shoot your shot, wakikataa unasepa na kijiji kingine.
 
Kutongoza ni fani kama zilivyo nyingine, nilihangaika sana lakini siku nilipojua mahusiano yanataka nini nilienjoy sana.kila kitu kina muda wake na wakati wa mungu ni wakati sahihi,
 
Back
Top Bottom