Nataka nitangaze nia ya Ndoa, Before it's too late.

Nataka nitangaze nia ya Ndoa, Before it's too late.

PAle unapooa ili ufuliwe nguo upikiwe na kufanyiwa usafi
Nimeshangaa sana anaoa house girl....... Mfyuuu yaani sababu anajifanyisha hayo makazi ameona ndio ticket ya kumuoa vinginevyo asingemfikiria kwenye ndoa
 
Yaan mnakoseaga padogo sana..unaeza oa mchapakazi asiwe mke..ndoa ni mengi sana ukiacha uo uchapakaz uliouona ww..kuna kukutii ww kulea watoto kujitunza pia kama mke wa mtu na mengine mengi.
Kuna kujali ndugu wa pande zote, kushiriki vishughuli vidogo vya jamii inayomzunguka, mfano misiba
 
Binti wa miaka 20? Life hasn't taught you something.. Mabinti wa below 25 huwa hatuwawekei dhamana kama wenye Kesi ya mauaji vile.. anyways To every general rule there is an exclusion.. Jaribu bahati yako!
Kivipi mkuu hujasomeka
 
[emoji41]
IMG_20190705_083130.jpeg
 
Sidhani tunaenda 2yrs now, inshort me ndo namzingua sana hyu bibie ila yeye kajitoa sana kwangu. Nimetambulishwa na ndugu zake almost wote mpaka her mother but me anawajua masela tu wachache[emoji23]
Kwa mahesabu madogo ulianza naye akiwa 18yrs
 
Mwanaume ni mwanaume tu yaan pamoj na kufanyiw yote hayo bt still unao wengine duuh mnajua kupotezea watu mda [emoji848][emoji848]
Hyu bibie toka naanza nae nilimwona yuko different na wengine ambae ninao. Ndomana namwangalia. Sana
 
Miaka 20 bado mdogo sana... muache apate akili ndiyo utajua rangi yake halisi...

Ila psychologically unaambiwa ukiona the deal is too good, shtuka kuna kitu hakitakua sawa...

Cc: mahondaw
 
Nimeshangaa sana anaoa house girl....... Mfyuuu yaani sababu anajifanyisha hayo makazi ameona ndio ticket ya kumuoa vinginevyo asingemfikiria kwenye ndoa

Utasikia baadae kamchoka maana hakuoa kwa upendo bali afanyiwe kazi
 
Yaan mnakoseaga padogo sana..unaeza oa mchapakazi asiwe mke..ndoa ni mengi sana ukiacha uo uchapakaz uliouona ww..kuna kukutii ww kulea watoto kujitunza pia kama mke wa mtu na mengine mengi.
Akili zako zimetulia sana mkuu.
 
Mkuu wazungu wanasema "Experience is the best teacher" kwahio tunapozungumza hivi tunazungumzia experience/uzoefu.. uzoefu ni kila kitu.. mwanamke wa miaka chini ya 25 aisee kamwe usimwekee dhamana.. any time "t" anaweza kubadilika!
Wewee! Uzoefu wa kwenda wapi huo? Wengine tumewaoa pre mature, tukalea, tukatunza na sasa tunazeeka nao na hawana tofauti yoyote.

Tabia ni kama rangi ya ngozi, mtu huzaliwa nayo na kufa nayo.

Kama utaipaka mkorogo, utaibadili kwa muda na baadae itarejea katika uasili wake.

Mnazeeka bila ndoa kwa sababu ya kukaririshwa ubatili.
 
Back
Top Bottom