Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,618
- 33,475
how?
Nilikua namaanisha kuchepuka
how?
Movie linaanza, atakuja kwangu weekend sa1 asubuhi kwa nauli yake hapo nimelala atatoa nguo zangu zote chafu, mashuka viatu atafuaa zinang'aa. Ataingia jikoni atasafisha makabati, vyombo ataingia chooni atasafisha usafi wa grade A. Sijamaliza atatoka nje ataosha vioo madirishan, atatengeneza bustan na maua yake. Atapika chai tutakunywaa hapo anaingia room anasafisha mpaka kupanga vitu. Atapika lunch swafii baada ya hapo tunaingia 6x6 nitapewa sweat sex[emoji39]. Atanyoosha nguo zangu vzr pamoja na kupanga kabatini, atabrush shoes [emoji149]
Atarudi jikon kupika kwa ajili ya me dinner, sa1 usik anaaga kurud kwao ni gate kali [emoji190], anaaga but haombi hela but me huwa najiongeza nampa cash [emoji385] coz ananibarik sana.
Sasa nafikiri binti wa miaka 20 anawazid akil dada wakubwa kabisaa. Sometime namcheat but sion sababu yani daah japo simwoneshi. Binti ni mtii, mnyenyekevu sana japo anahasira sana ukimboa [emoji3].Jaman hyu bibie ananikosha wacha niwaze ndoa tu nitangaze nia be fore its too late.
PAle unapooa ili ufuliwe nguo upikiwe na kufanyiwa usafi
kwaiyoo unataka kusema anaoa house girl material na sio wife material??
Yaan mnakoseaga padogo sana..unaeza oa mchapakazi asiwe mke..ndoa ni mengi sana ukiacha uo uchapakaz uliouona ww..kuna kukutii ww kulea watoto kujitunza pia kama mke wa mtu na mengine mengi.Movie linaanza, atakuja kwangu weekend sa1 asubuhi kwa nauli yake hapo nimelala atatoa nguo zangu zote chafu, mashuka viatu atafuaa zinang'aa. Ataingia jikoni atasafisha makabati, vyombo ataingia chooni atasafisha usafi wa grade A. Sijamaliza atatoka nje ataosha vioo madirishan, atatengeneza bustan na maua yake. Atapika chai tutakunywaa hapo anaingia room anasafisha mpaka kupanga vitu. Atapika lunch swafii baada ya hapo tunaingia 6x6 nitapewa sweat sex[emoji39]. Atanyoosha nguo zangu vzr pamoja na kupanga kabatini, atabrush shoes [emoji149]
Atarudi jikon kupika kwa ajili ya me dinner, sa1 usik anaaga kurud kwao ni gate kali [emoji190], anaaga but haombi hela but me huwa najiongeza nampa cash [emoji385] coz ananibarik sana.
Sasa nafikiri binti wa miaka 20 anawazid akil dada wakubwa kabisaa. Sometime namcheat but sion sababu yani daah japo simwoneshi. Binti ni mtii, mnyenyekevu sana japo anahasira sana ukimboa [emoji3].Jaman hyu bibie ananikosha wacha niwaze ndoa tu nitangaze nia be fore its too late.
Daaah apo tuu ndo nachukiaga kujoin humu nikiona eti miaka 23 au 24 mnasema hawez kua mke. Mbona mimi...............Binti wa miaka 20? Life hasn't taught you something.. Mabinti wa below 25 huwa hatuwawekei dhamana kama wenye Kesi ya mauaji vile.. anyways To every general rule there is an exclusion.. Jaribu bahati yako!
Mkuu wazungu wanasema "Experience is the best teacher" kwahio tunapozungumza hivi tunazungumzia experience/uzoefu.. uzoefu ni kila kitu.. mwanamke wa miaka chini ya 25 aisee kamwe usimwekee dhamana.. any time "t" anaweza kubadilika!Daaah apo tuu ndo nachukiaga kujoin humu nikiona eti miaka 23 au 24 mnasema hawez kua mke. Mbona mimi...............
Je tabia maana hizo ni mbwembwe tu.Movie linaanza, atakuja kwangu weekend sa1 asubuhi kwa nauli yake hapo nimelala atatoa nguo zangu zote chafu, mashuka viatu atafuaa zinang'aa. Ataingia jikoni atasafisha makabati, vyombo ataingia chooni atasafisha usafi wa grade A. Sijamaliza atatoka nje ataosha vioo madirishan, atatengeneza bustan na maua yake. Atapika chai tutakunywaa hapo anaingia room anasafisha mpaka kupanga vitu. Atapika lunch swafii baada ya hapo tunaingia 6x6 nitapewa sweat sex[emoji39]. Atanyoosha nguo zangu vzr pamoja na kupanga kabatini, atabrush shoes [emoji149]
Atarudi jikon kupika kwa ajili ya me dinner, sa1 usik anaaga kurud kwao ni gate kali [emoji190], anaaga but haombi hela but me huwa najiongeza nampa cash [emoji385] coz ananibarik sana.
Sasa nafikiri binti wa miaka 20 anawazid akil dada wakubwa kabisaa. Sometime namcheat but sion sababu yani daah japo simwoneshi. Binti ni mtii, mnyenyekevu sana japo anahasira sana ukimboa [emoji3].Jaman hyu bibie ananikosha wacha niwaze ndoa tu nitangaze nia be fore its too late.
TuoneYann sasa
😂😂😂😂kwaiyoo unataka kusema anaoa house girl material na sio wife material??
[emoji39]Je tabia maana hizo ni mbwembwe tu.
okMkuu wazungu wanasema "Experience is the best teacher" kwahio tunapozungumza hivi tunazungumzia experience/uzoefu.. uzoefu ni kila kitu.. mwanamke wa miaka chini ya 25 aisee kamwe usimwekee dhamana.. any time "t" anaweza kubadilika!
wewe una umri gani??
When You cheat on someone’s, you don’t make them doubt you.
You make them doubt love and You make them doubt themselves.
Whose ever has been cheated on
will start to doubt their appearance
Will start to doubt their bodies
Will start to compare themselves to others
Will start to compare themselves to who they were before when they met you
Your infidelity can spark so much insecurity in someone’s that they start to question their whole personality. That person you will be cheating on will most likely think it’s their own fault even if they had nothing to do with it
And if you have ever been cheated on, recognize that someone cheating on you is more reflection on them than it is in you
You can only do better by stop cheating Mkuu
Je, kwao anafanya hayo pia?
Maigizo ni mengi mjini...
Naomba niulize huyo ni mtu au li robot ? Ikiwa ni mtu take time uchunguze kama kwao huwa kanafanya hivyo.
Daaah apo tuu ndo nachukiaga kujoin humu nikiona eti miaka 23 au 24 mnasema hawez kua mke. Mbona mimi...............