Simon Mkirene
Senior Member
- Jul 16, 2019
- 188
- 161
Mkuu, hebu nipe namba yake nimshauri kitu kidogo huyo bibie
kama dingi??
Okay tuzungumze kikubwa basihaaa umri wa kua mke tayar.
Mzee life limebadilika bibi zako hawakuishi hizi zama.. na wao wangeishi hizi zama wangekuwa micharuko vivyo hivyo!Mbona bibi zetu na mama zetu wameolewa china ya hiyo miak na mpaka leo wapo ndoani
Kiufupi Mkuu mwanamke wa umri chini ya miaka tajwa usimuwekee malengo kiivo.. expectation zako kwake ziwe below hata 30% bado wana ile mood swings!Kivipi mkuu hujasomeka
Mkuu binafsi sitaki nikuaminishe.. kazi yangu ni kukuambia kuamini/kutoamini ni juu yako.. Finally results itatupa mrejesho.. ukiwa katika deep love huwezi elewa nazungumza nini hapa!Wewee! Uzoefu wa kwenda wapi huo? Wengine tumewaoa pre mature, tukalea, tukatunza na sasa tunazeeka nao na hawana tofauti yoyote.
Tabia ni kama rangi ya ngozi, mtu huzaliwa nayo na kufa nayo.
Kama utaipaka mkorogo, utaibadili kwa muda na baadae itarejea katika uasili wake.
Mnazeeka bila ndoa kwa sababu ya kukaririshwa ubatili.
Nimeshangaa sana anaoa house girl....... Mfyuuu yaani sababu anajifanyisha hayo makazi ameona ndio ticket ya kumuoa vinginevyo asingemfikiria kwenye ndoa
Sii nna sifa za kua mke...mimi ni mke kasoro mme.
Usidanganyike na kampeni za kusaka ndoa.
Kwa akili na mienendo yako you don't deserve that woman.
Kama unataka kumuoa badilika
Kwa mahesabu madogo ulianza naye akiwa 18yrs
Mwanaume ni mwanaume tu yaan pamoj na kufanyiw yote hayo bt still unao wengine duuh mnajua kupotezea watu mda [emoji848][emoji848]
Yap mwanamke hivyo ni vya ziada tu mnatakiwa msaidiane
Wanaume wa kibongo wavivu sanaa
Mbn kugonga haujaweka na alisema!
Wewee! Uzoefu wa kwenda wapi huo? Wengine tumewaoa pre mature, tukalea, tukatunza na sasa tunazeeka nao na hawana tofauti yoyote.
Tabia ni kama rangi ya ngozi, mtu huzaliwa nayo na kufa nayo.
Kama utaipaka mkorogo, utaibadili kwa muda na baadae itarejea katika uasili wake.
Mnazeeka bila ndoa kwa sababu ya kukaririshwa ubatili.
Mkuu, hebu nipe namba yake nimshauri kitu kidogo huyo bibie
Kiufupi Mkuu mwanamke wa umri chini ya miaka tajwa usimuwekee malengo kiivo.. expectation zako kwake ziwe below hata 30% bado wana ile mood swings!
AamenUbarikiwe sana