Nataka nitangaze nia ya Ndoa, Before it's too late.

Nataka nitangaze nia ya Ndoa, Before it's too late.

Mkuu binafsi sitaki nikuaminishe.. kazi yangu ni kukuambia kuamini/kutoamini ni juu yako.. Finally results itatupa mrejesho.. ukiwa katika deep love huwezi elewa nazungumza nini hapa!
Ninakataa ndiyo. Mm nimeoa msichana mwenye umri wa miaka15. Nafunga ndoa huku natetemekea kesi ya ubakaji.
Lakini 30 yrs left, sasahivi ni mbibi sijawahi muona na hayo makorokocho yako uliyoyajaza page nzima.
 
Ninakataa ndiyo. Mm nimeoa msichana mwenye umri wa miaka15. Nafunga ndoa huku natetemekea kesi ya ubakaji.
Lakini 30 yrs left, sasahivi ni mbibi sijawahi muona na hayo makorokocho yako uliyoyajaza page nzima.
basi sawa!
 
Kiufupi Mkuu mwanamke wa umri chini ya miaka tajwa usimuwekee malengo kiivo.. expectation zako kwake ziwe below hata 30% bado wana ile mood swings!

Atakua amekwelewa kama yeye mwenyewe ni above 25
 
Movie linaanza, atakuja kwangu weekend sa1 asubuhi kwa nauli yake hapo nimelala atatoa nguo zangu zote chafu, mashuka viatu atafuaa zinang'aa. Ataingia jikoni atasafisha makabati, vyombo ataingia chooni atasafisha usafi wa grade A. Sijamaliza atatoka nje ataosha vioo madirishan, atatengeneza bustan na maua yake. Atapika chai tutakunywaa hapo anaingia room anasafisha mpaka kupanga vitu. Atapika lunch swafii baada ya hapo tunaingia 6x6 nitapewa sweat sex[emoji39]. Atanyoosha nguo zangu vzr pamoja na kupanga kabatini, atabrush shoes [emoji149]

Atarudi jikon kupika kwa ajili ya me dinner, sa1 usik anaaga kurud kwao ni gate kali [emoji190], anaaga but haombi hela but me huwa najiongeza nampa cash [emoji385] coz ananibarik sana.

Sasa nafikiri binti wa miaka 20 anawazid akil dada wakubwa kabisaa. Sometime namcheat but sion sababu yani daah japo simwoneshi. Binti ni mtii, mnyenyekevu sana japo anahasira sana ukimboa [emoji3].Jaman hyu bibie ananikosha wacha niwaze ndoa tu nitangaze nia be fore its too late.
hasira ni mapungufu yake tu kama ambavyo kila mtu ana yake mengine...ila geti kali wengine huwa namelewewa fressh
 
Back
Top Bottom