Nataka nitangaze nia ya Ndoa, Before it's too late.

Nataka nitangaze nia ya Ndoa, Before it's too late.

Movie linaanza, atakuja kwangu weekend sa1 asubuhi kwa nauli yake hapo nimelala atatoa nguo zangu zote chafu, mashuka viatu atafuaa zinang'aa. Ataingia jikoni atasafisha makabati, vyombo ataingia chooni atasafisha usafi wa grade A. Sijamaliza atatoka nje ataosha vioo madirishan, atatengeneza bustan na maua yake. Atapika chai tutakunywaa hapo anaingia room anasafisha mpaka kupanga vitu. Atapika lunch swafii baada ya hapo tunaingia 6x6 nitapewa sweat sex[emoji39]. Atanyoosha nguo zangu vzr pamoja na kupanga kabatini, atabrush shoes [emoji149]

Atarudi jikon kupika kwa ajili ya me dinner, sa1 usik anaaga kurud kwao ni gate kali [emoji190], anaaga but haombi hela but me huwa najiongeza nampa cash [emoji385] coz ananibarik sana.

Sasa nafikiri binti wa miaka 20 anawazid akil dada wakubwa kabisaa. Sometime namcheat but sion sababu yani daah japo simwoneshi. Binti ni mtii, mnyenyekevu sana japo anahasira sana ukimboa [emoji3].Jaman hyu bibie ananikosha wacha niwaze ndoa tu nitangaze nia be fore its too late.
Sasa ona ulivyo popompo, anakufanyia yote hayo na bado unamcheat!!

20yrs anajibebesha mjukumu ya mke kwa boyfriend? Wazazi wake wamepata hasara
 
Mkuu wazungu wanasema "Experience is the best teacher" kwahio tunapozungumza hivi tunazungumzia experience/uzoefu.. uzoefu ni kila kitu.. mwanamke wa miaka chini ya 25 aisee kamwe usimwekee dhamana.. any time "t" anaweza kubadilika!
Nakubali hili suala
 
Kumbuka Push ups za Magu wakati anagombea urais hazitakuja kurudiwa tena.

Kuwa makini na huyo unayetaka kumuoa kabla hajawa Magu kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom