Nataka nisome law lakini....' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka nisome law lakini....'

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tabibumtaratibu, May 7, 2012.

 1. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Jaman wana jf embu nishaurini nimefaulu kwa kiwango cha juu HGK ila watu wananiogopesha kuhusu law eti mkopo hupewi,ajira utasota na pia mambo magumu sana! Na mm naipenda sana hii fakat ushaur plz... Kwa wenye uwelewa na hii kitu'
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Soma kitu ukipendacho bwana mdogo,usifuate mkumbo ili tu upewe mkopo.
   
 3. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  tatizo mtoto wa mkulima
   
 4. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,712
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Fanya unachoamini utafanikiwa, kazi zipo kwa wale wapendao kazi zao wala sio wale waambiao nini cha kufanya. Piag sherai chooka na GPA ya 4 then omba kufundisha au fungua law firm uwe kama akina mkono.
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  uzeni hata hayo mashamba na mifugo yenu usome...
   
 6. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unataka kuniambia thaman ya law ni kubwa kuliko mifugo na mashamba?
   
 7. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  gud advise, thanx
   
 8. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  timiza malengo yako, soma ukitakacho
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Umefaulu kwa kiwango gani? Unataka kusomea wapi? Law ngumu UDSM tu. Usichaguliwe hatma yako...
   
 10. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ndugu kabla ya kujaza angalia mwongozo wa TCU ambao unaonyesha kozi zitakazo pewa mkopo na ambazo hazitapewa mkopo. kama we ni maskini kama mimi kusoma sheria sahau maana hakuna cha mkopo wa ada wala meal and accomordation. Na hapo bado hujaongelea pesa za kuja kujilipia law school. Kama nyumbani mambo safi wala haina shida
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Sasa wanaosoma sheria ada wanalipaje kama mikopo hakuna?
   
Loading...