Nataka nirudi shule kwa ajili ya PhD mwaka huu

Kama Ndalichako alimaliza PhD na hajui kuongea English fasaha sembuse ww.

Utamaliza PHD kabla ya huo mda, kapige kitabu tuuu
 
Kwa hio na CAG na reports zake ni za wanasiasa na za kukufurahisha sio?Ajabu sana hii.

Mimi nakomaa wapewe Performance Contracts uone kama na hizo PH.d zao kama watafanya chochote.
Kwahiyo CAG amekuangusha wapi sasa kwa usomi wake? Moja ya taasisi za Tanzania ambazo zina mfumo mzuri wa utendaji ni NAOT. CAG hata akiwa na PhD ya kuunga unga most likely reports zake zitakua za viwango maana yeye ni mtia saini tu zaidi. Labda akae miaka mingi hadi aathiri sana aina ya watendaji wa ofisi yake.

Achana na siasa mkuu, unamkatisha tamaa mdau hapa kwa kuhusanisha usomi na siasa vitu ambavyo ni tofauti sana. Wewe ukienda kusoma hiyo PhD utaiweza? Na kama utaiweza ukimaliza tu utageuka kilaza? Wewe ndio una mbwembwe sana mkuu!
 
Pia unahisi PhD ziko ngapi hapa nchini, kwa taarifa yako PhD za wanasiasa tangu mwanzo hazinaga ubora maana mtu anakua alisoma kwa malengo ya kisiasa tu.

Unajifanya msomi lakini huna data za aslimia ngapi ya PhD unaona zimekuangusha na wala huna kipimo chochote cha performance zao.

Wewe kwenye familia yako unazo resources za kutosha kubadilisha maisha yako overnight? Kama huna kwanini unategemea ghafla Kitila mkumbo abadilishe hali ya maji hapa Tanzania kwa muujiza? Maendeleo ni hatua, na kila hatua ndogo ni muhimu katika kuelekea kwenye maendeleo jumuishi.
Ndio aina ya PH.d tulizona Tanzania hizo,PH.d ambazo zinamwambia mtu hana data za ku support anachokisema huku na zeyewe zikiwa hazina back up ya anachokisema,no wonder hapa Bongo Corporates hazina muda wa kuajiri PH.d's kwny executive positions.

By the way msalimie Dr. Bana.,hahah.

Hamma kitu cha maana utaongea hapa zaidi nenda kamwambie Mkumbo aendelee kupiga picha akichimba mitaro ya maji inaweza kusaidia kuboreaha huduma za maji nchini.
 
Kwahiyo CAG amekuangusha wapi sasa kwa usomi wake? Moja ya taasisi za Tanzania ambazo zina mfumo mzuri wa utendaji ni NAOT. CAG hata akiwa na PhD ya kuunga unga most likely reports zake zitakua za viwango maana yeye ni mtia saini tu zaidi. Labda akae miaka mingi hadi aathiri sana aina ya watendaji wa ofisi yake.

Achana na siasa mkuu, unamkatisha tamaa mdau hapa kwa kuhusanisha usomi na siasa vitu ambavyo ni tofauti sana. Wewe ukienda kusoma hiyo PhD utaiweza? Na kama utaiweza ukimaliza tu utageuka kilaza? Wewe ndio una mbwembwe sana mkuu!
Hahah unajibu kama mtu aliyedata,wewe umesema hizo story za wanasiasa nikakwamwambia ni from CAG reports ulichokuja kujibu sasa ni kituko hahah.

PH.d niiwezee wapi wkt nimeishia form 4 tu,niko nikichimba mitaro tu huku mtaani,mambo za PH.d nimekuachia wewe mzee wa KPI.hahah
 
Ndio aina ya PH.d tulizona Tanzania hizo,PH.d ambazo zinamwambia mtu hana data za ku support anachokisema huku na zeyewe zikiwa hazina back up ya anachokisema,no wonder hapa Bongo Corporates hazina muda wa kuajiri PH.d's kwny executive positions.

By the way msalimie Dr. Bana.,hahah.

Hamma kitu cha maana utaongea hapa zaidi nenda kamwambie Mkumbo aendelee kupiga picha akichimba mitaro ya maji inaweza kusaidia kuboreaha huduma za maji nchini.
Naona sasa umejitambua kuwa hauna msingi wowote wa kufanya objective analysis ya mafanikio ya PhD za Tanzania, pamoja na kukiri hilo lakini bado kichwani mwako una msimamo hasi wa hao wanasiasa wenye PhD.

Tukiacha hilo, unaweza kuniambia namna unavyoielewa siasa inavyofanya kazi? Nijibu hili ili tujue nini cha kutarajia kutoka kwa wasomi wanaojiingiza kwenye siasa.
 
Hahah unajibu kama mtu aliyedata,wewe umesema hizo story za wanasiasa nikakwamwambia ni from CAG reports ulichokuja kujibu sasa ni kituko hahah.

PH.d niiwezee wapi wkt nimeishia form 4 tu,niko nikichimba mitaro tu huku mtaani,mambo za PH.d nimekuachia wewe mzee wa KPI.hahah
Haya basi nimekosea mimi kukuelewa kuhusu hizo CAG reports, hebu basi tuwekee hapa tuone namna gani zimeonyesha udhaifu wa PhD za Tanzania.

Je, wajua pia kuwa CAG anao uwezo wa kufanya study kujua kama PhD za Tanzania zina manufaa kwa jamii? So labda tumuombe afanye hiyo study then uje hapa kushambulia wasomi wenye PhD wanaojitafutia mkate wao kwenye siasa.
 
Naona sasa umejitambua kuwa hauna msingi wowote wa kufanya objective analysis ya mafanikio ya PhD za Tanzania, pamoja na kukiri hilo lakini bado kichwani mwako una msimamo hasi wa hao wanasiasa wenye PhD.

Tukiacha hilo, unaweza kuniambia namna unavyoielewa siasa inavyofanya kazi? Nijibu hili ili tujue nini cha kutarajia kutoka kwa wasomi wanaojiingiza kwenye siasa.
Hahah wala hakuna mafanikio yoyote yaliyoletwa na hizo PH.d na hata ufanye hizo objective/non-bias/conclusive analysis utaishia kuzunguka mbuyu tu.

By the way usichokijua Dangote alitangaza kazi za madereva wa magari kwny kiwanda chake huko Nigeria kwny maombi ya kazi Master's zilikua 26 huku PH.d zikiwa 2.

Sasa sijui Buhari hakuwaona hawa awape mashavu mpk wameenda kuomba udereva wa malori.,hahah.
 
Haya basi nimekosea mimi kukuelewa kuhusu hizo CAG reports, hebu basi tuwekee hapa tuone namna gani zimeonyesha udhaifu wa PhD za Tanzania.

Je, wajua pia kuwa CAG anao uwezo wa kufanya study kujua kama PhD za Tanzania zina manufaa kwa jamii? So labda tumuombe afanye hiyo study then uje hapa kushambulia wasomi wenye PhD wanaojitafutia mkate wao kwenye siasa.
Kwamba hata hujui report za CAG ziko kwny website ya ofisi yake sio?

Naona PH.d umeshindwa hata kujua majukumu ya CAG sio?Sikujua kama 1 ya jukumu la CAG ni kufanya Study kujua PH.d za Tz zina manufaa kiasi gani kwa jamii.

Sasa sijui imekuaje mchimba mitaro nimejua hili wewe PH.d usijue aisee.
 
Hahah wala hakuna mafanikio yoyote yaliyoletwa na hizo PH.d na hata ufanye hizo objective/non-bias/conclusive analysis utaishia kuzunguka mbuyu tu.

By the way usichokijua Dangote alitangaza kazi za madereva wa magari kwny kiwanda chake huko Nigeria kwny maombi ya kazi Master's zilikua 26 huku PH.d zikiwa 2.

Sasa sijui Buhari hakuwaona hawa awape mashavu mpk wameenda kuomba udereva wa malori.,hahah.
Mkuu una hasira sana na wasomi hadi umeingiza hoja nyingine hapa. Usomi haumhakikishii mtu maisha bora kutokana na "factors" nyingi sana na zinazotofautiana kati ya nchi na nchi.

Nadhani hilo sasa ndio unaweza kuwaomba wanasiasa angalau wajitahidi kutengeneza mazingira mazuri kwa kila mwananchi ili aweze kutimiza malengo yake. Sio wafanye muujiza bali watengeneze tu mazingira wezeshi. Soma kidogo kuhusu the american dream utaelewa namaanisha nini hapa. Kila mtu ana haki ya kutafuta mkate wake kwa hali na namna yoyote ilimradi havunji sheria, awe msomi au sio msomi.
 
Kwamba hata hujui report za CAG ziko kwny website ya ofisi yake sio?

Naona PH.d umeshindwa hata kujua majukumu ya CAG sio?Sikujua kama 1 ya jukumu la CAG ni kufanya Study kujua PH.d za Tz zina manufaa kiasi gani kwa jamii.

Sasa sijui imekuaje mchimba mitaro nimejua hili wewe PH.d usijue aisee.
Mkuu imetosha basi tulipofikia mjadala juu ya hili. Mengine jiongeze na nenda kasome zaidi utanielewa. Kasome hasa kuhusu performance reports za CAG na mandate ya CAG. Kila la heri kwako.
 
Mkuu una hasira sana na wasomi hadi umeingiza hoja nyingine hapa. Usomi haumhakikishii mtu maisha bora kutokana na "factors" nyingi sana na zinazotofautiana kati ya nchi na nchi.

Nadhani hilo sasa ndio unaweza kuwaomba wanasiasa angalau wajitahidi kutengeneza mazingira mazuri kwa kila mwananchi ili aweze kutimiza malengo yake. Sio wafanye muujiza bali watengeneze tu mazingira wezeshi. Soma kidogo kuhusu the american dream utaelewa namaanisha nini hapa. Kila mtu ana haki ya kutafuta mkate wake kwa hali na namna yoyote ilimradi havunji sheria, awe msomi au sio msomi.
Naunga hoja mkono mkuu na hata hawa PH.d's wana haki ya kua madereva wa malorry ya mizigo maana hawavunji sheria.
 
Mkuu imetosha basi tulipofikia mjadala juu ya hili. Mengine jiongeze na nenda kasome zaidi utanielewa. Kasome hasa kuhusu performance reports za CAG na mandate ya CAG. Kila la heri kwako.
Mchimba mitaro na reports za CAG wapi na wapi boss?
 
Kama ni kijana kuliko upoteze muda wako na mavitabu kuitafuta hiyo PhD nakushauri ukajiunge UVCCM utayala mema ya nchi
 
Wadau nimeanza mchakato wa kuomba phd hapo IRA-UDSM.Najua kuna changamoto zifuatazo hivyo naomba mnipe namna yankukabiliana nazo;

1.Udhamini angalau kwenye utafiti tu.

2.Muda wa kumaliza...nitumie mbinu gani basi nimalize kwa muda muafaka.yaani miezi 36 kama inavyotakiwa.

3.n.k.

Asante
Sijafuatilia Uzi wako kwa undani sana nijue unataka kufanya PhD in what. Lakin kama unataka kufanya ya biashara nenda ESAMI DBA (Doctorate of Business Administration) ,ni joint program na Swiss School of Management , ni research intensive ni miaka 4 na ni executive (part time) ,ada dollar 5000 kwa mwaka. Very informative and interesting
watembelee
www.esami-africa.org
Jamaa wako vizuri sana hata masters zao zinaeleweka, ni expensive lakin you get what you need
 
Kama ni kijana kuliko upoteze muda wako na mavitabu kuitafuta hiyo PhD nakushauri ukajiunge UVCCM utayala mema ya nchi
Hahah huu ushauri wako watauchukulia poa lkn huko Manispaa/jiji wakuu wa Idara wenye master's zao na uzoefu wa kutosha kabisa hua wanashtukia tu mara paap wameletewa kijana mdogo tu ndio mkurugenzi wao,wanajiuliza ametoka wap huyu?jibu ni kwamba ana kadi ya chama cha kijani.
 
As if u've read my mind
Sikuvunji moyo mkuu, ila nimekua nikiangalia impacts zilizoletwa na PH.d holder's wetu walioko kwny nyanja mbalimbali hapa nchini naona kama zimewafanya wazidi kua wajinga mkuu.

So sorry kama niliku-discourage by any means mkuu.
 
Kwenye udhamini sina hakika sana labda jaribu kuomba mashirika yasiyo ya kifaida kutoka ktk nchi za ki-Nordic kama Norway au Denmark au Sweden kupitia balozi zao.

Kuhusu kumaliza elimu yako ya uzamivu(Ph.D) ndani ya wa kati vyuo kama Udsm au University of Nairobi(UoN) maana huwa wanashirikiana hakikisha unawa-push sana supervisors wako kila muda unawasumbua kuisoma kazi yako na angalau ujitahidi ku-publish paper mbili locally hapo hapo chuoni kwako miezi 18 ya mwanzo.

No offence, kama una kichwa kizuri nenda kasome University of Capetown (UCT) pale utamaliza ukiwa vizuri sana kichwani bila kubebwa bebwa na supervisors na wapo very strictly sana humalizi Ph.D bila ku-publish angalau paper mbili ktk international journals. Kitu ambacho vyuo vya Afrika mashariki kama Dar es Salaam, Makelele au Nairobi unamaliza tu kirahisi rahisi bila kuifanyia kazi yaani wanatoa Ph.D kama Masters bila hata ku-publish (through your unpublished thesis only). Ni Afrika mashariki pekee hapa ulimwenguni hasa hasa Tanzania si ajabu kumkuta mtu ana Ph.D ila hana chapisho lolote lile ktk international journals hasa hasa akisoma hivi vyuo vya mchangani nilivyovitaja hapo.😀
Mkuu publications kwenye peer refered journals ni kigezo cha vyuo vingi hata hapa Afrika mashariki. Nipo Makerere humalizi kama huna paper 2 hata kama umeclear kila kitu kwenye thesis yako. Mdau ajiandae hata hapa TCU wametoa guideline mpya inaanza mwaka huu, lazima ufyatue paper 2 kwa mtu wa PhD, na paper moja kwa mtu wa masters.

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
 
Wadau nimeanza mchakato wa kuomba phd hapo IRA-UDSM.Najua kuna changamoto zifuatazo hivyo naomba mnipe namna yankukabiliana nazo;

1.Udhamini angalau kwenye utafiti tu.

2.Muda wa kumaliza...nitumie mbinu gani basi nimalize kwa muda muafaka.yaani miezi 36 kama inavyotakiwa.

3.n.k.

Asante

Wewe ni me/ke?
 
Back
Top Bottom