Nataka nirudi shule kwa ajili ya PhD mwaka huu

Kaka kalime tu achana na elimu,..hiyo uliyonayo inatosha
 
Shule ni mchongo wa pesa pia...shida yenu mnakariri.Niliwahi pata scholarship ya dola 80 kwa siku halafu natumia kama 20 tu kwa miezi 30
 
Wadau nimeanza mchakato wa kuomba phd hapo IRA-UDSM.Najua kuna changamoto zifuatazo hivyo naomba mnipe namna yankukabiliana nazo;

1.Udhamini angalau kwenye utafiti tu.

2.Muda wa kumaliza...nitumie mbinu gani basi nimalize kwa muda muafaka.yaani miezi 36 kama inavyotakiwa.

3.n.k.

Asante
Anza PhD yako, udhamini wa utafiti utaupata ukiwa kwenye masomo tayari kama hautalaza damu
 
Asante mkuu...kuna mdau pia kanijulisha hili.Kwamba kuna some ongoing project zinaweza kuwa sehemu ya ufadhili wangu
Anza PhD yako, udhamini wa utafiti utaupata ukiwa kwenye masomo tayari kama hautalaza damu
 
PH.d itakufanya uwe mjinga kabisaa,achana nayo mkuu.
 
Kwenye udhamini sina hakika sana labda jaribu kuomba mashirika yasiyo ya kifaida kutoka ktk nchi za ki-Nordic kama Norway au Denmark au Sweden kupitia balozi zao.

Kuhusu kumaliza elimu yako ya uzamivu(Ph.D) ndani ya wa kati vyuo kama Udsm au University of Nairobi(UoN) maana huwa wanashirikiana hakikisha unawa-push sana supervisors wako kila muda unawasumbua kuisoma kazi yako na angalau ujitahidi ku-publish paper mbili locally hapo hapo chuoni kwako miezi 18 ya mwanzo.

No offence, kama una kichwa kizuri nenda kasome University of Capetown (UCT) pale utamaliza ukiwa vizuri sana kichwani bila kubebwa bebwa na supervisors na wapo very strictly sana humalizi Ph.D bila ku-publish angalau paper mbili ktk international journals. Kitu ambacho vyuo vya Afrika mashariki kama Dar es Salaam, Makelele au Nairobi unamaliza tu kirahisi rahisi bila kuifanyia kazi yaani wanatoa Ph.D kama Masters bila hata ku-publish (through your unpublished thesis only). Ni Afrika mashariki pekee hapa ulimwenguni hasa hasa Tanzania si ajabu kumkuta mtu ana Ph.D ila hana chapisho lolote lile ktk international journals hasa hasa akisoma hivi vyuo vya mchangani nilivyovitaja hapo.😀
Kwa UDSM ili umalize PhD ni lazima uwe na paper angalau moja ambayo ni peer reviewed
 
Niwe mjinga kama mlivyo kwenye ukoo wenu.....shit
Si unaona hata reply yako haijibu nilichokisema?

Ila kumbuka baba yangu na baba yako ni mtu na kaka yake so hapo nawe pia ni member wa wajinga family.
 
Ha ha...kweli aisee...sasa wewe kumbe ndg yangu mbona unavunja moyo wenzako

Sikuvunji moyo mkuu, ila nimekua nikiangalia impacts zilizoletwa na PH.d holder's wetu walioko kwny nyanja mbalimbali hapa nchini naona kama zimewafanya wazidi kua wajinga mkuu.

So sorry kama niliku-discourage by any means mkuu.
 
Unafikiria sana siasa muda wote. Mtu yoyote akiingia kwenye siasa lazima ataonekana hajiheshimu sababu ya asili ya siasa ni propaganda ambazo mara nyingi ni kinyume cha ukweli. Sasa ulitaka mtu mwenye PhD akiwa kwenye siasa asifanye hizo siasa? Watumishi wa umma je kama makatibu wakuu wenye PhD au maprofessor nao wamekuangusha?
 
Hao makatibu wakuu na PH.d zao wanaopelekeshwa na wanasiasa ndio unadhani wana jipya gani?

Nipe Impacts za katibu Mkuu Dr. Kitilya Mkumbo kwny nafasi yake.
 
Katibu mkuu wa wizara ni cheo cha kiutendaji, unajua kwa siku anafanya decisions ngapi za wizara? Usimamizi je? Tanzania haiendelei sababu ya siasa, watanzania tunakua wazembe sana. Wewe uko nae ofisi moja hadi ujue hawezi kazi? Achana na siasa za kwenye TV, tupe KPI zake ili tujue kama kweli usomi wake si kitu. Ungepewa wewe hiyo wizara ya maji ungeweza kuisimamia hata wiki moja tu?
 
Acha mbwembwe za KPI,wapewe Performance Contracts uone kama watatoboa,unajisifia kitu hata ambacho hukielewi.

Hizo KPI zinapimwa againist nini wkt budget yenyewe unapewa only 23% of the approved budget na unaendelea kusifia juhudi na usomi wako.
 
Wewe waweza kuona ni mbwembwe lakini kikubwa nakusisitiza acha siasa, komaa na maisha yako. Hao wasomi unaohangaika kuwakosoa wako busy huko makazini na KPI zao. Na wanasiasa acha wafanye siasa zao hata kama ni wasomi wa PhD, lazima hiyo bajeti unayosema ya 23% watakutafutia maneno ya kukufurahisha tu. So why ujihangaishe na kitu ambacho ndicho kinachofanyika kwenye siasa?
 
Pia unahisi PhD ziko ngapi hapa nchini, kwa taarifa yako PhD za wanasiasa tangu mwanzo hazinaga ubora maana mtu anakua alisoma kwa malengo ya kisiasa tu.

Unajifanya msomi lakini huna data za aslimia ngapi ya PhD unaona zimekuangusha na wala huna kipimo chochote cha performance zao.

Wewe kwenye familia yako unazo resources za kutosha kubadilisha maisha yako overnight? Kama huna kwanini unategemea ghafla Kitila mkumbo abadilishe hali ya maji hapa Tanzania kwa muujiza? Maendeleo ni hatua, na kila hatua ndogo ni muhimu katika kuelekea kwenye maendeleo jumuishi.
 
Wewe waweza kuona ni mbwembwe lakini kikubwa nakusisitiza acha siasa, komaa na maisha yako. Hao wasomi unaohangaika kuwakosoa wako busy huko makazini na KPI zao. Na wanasiasa acha wafanye siasa zao hata kama ni wasomi wa PhD, lazima hiyo bajeti unayosema ya 23% watakutafutia maneno ya kukufurahisha tu. So why ujihangaishe na kitu ambacho ndicho kinachofanyika kwenye siasa?
Kwa hio na CAG na reports zake ni za wanasiasa na za kukufurahisha sio?Ajabu sana hii.

Mimi nakomaa wapewe Performance Contracts uone kama na hizo PH.d zao kama watafanya chochote.
 
Back
Top Bottom