KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Mimi nataka ninyonye hayo ya kwako dear!
Basi kama unatumia tarehe peke yake,hapo najua shemeji yangu umemtesa ile mbaya,coz akikusogeleaa na ukame wake,kuna siku unaibania na kuivalia na jeans na mkanda juu au vipi?,huku ukimwambia leo baby shika bomba tu,maana niko danger days au vipi?nn usinidanganye eti mnatumia ya kuchomoa kabla ya vitu kuruka.mhhhh difference ya watoto wangu ni 4 years mkuu na tunajitambua.
take it from me. it is only a matter of attention.
Dah mkuu wewe hupendi ya saa sita kamili?? Wataka ya saa 12 jioni?? hahahaaaaa....Wakati namtongoza nilivutiwa na sura yake nzuri lakini kwa kweli kuna jambo moja naliona kama haliko perfect kabisa.Ni binti wa miaka 24, tatizo lake ana matiti madogo yaani sijui ni ugonjwa au ni mambo ya gene heritage.
Nikiwa naye kwenye faragha najikakamua kiutu uzima tu ila nashindwa kuenjoy mapambo halisi ya kifuani.
Wakuu hali ya binti kuwa na matiti madogo ni ugonjwa au husababishwa na nini?
Nakubaliana na wewe,kweli natural zipo,lakini nilikuwa nafanya kama askari kafika eneo la tukio,mpaka akimaliza maswali ya kiufundi,hapo ndio anakuja kwenye kitu kilichokua wazi,basi umenishinda na nina hakika mzee ana enjoy hiyo kitu adimu(HOT STUFF).haaah madaktari tuko wengi kweli.
sawa mkuu nimekupata.
Mbona ya natural husemi? au huoni kama uumbaji wa Mungu unawezekana.
Y only negative side and not positive side?
jst inquiring.
Hebu nifafanulie hizo chuchu za saa moja we binti.Chuchu zipo kama saasita au samoja
Khaaaaa! Yaani we mdau unatongoza kimzaha mzaha aisee wewe ,,hahahahahahhaaaaaaa haya banaSio kila mtu mamii,yaani namaanisha unamteua mtu mmoja tu, wazungu wanaita(random),yaani mmoja kama dawa vile.
Unataka ujuwe njoo pm na bxHebu nifafanulie hizo chuchu za saa moja we binti.
Kuna wakati huwa najiuliza haya..Wakati namtongoza nilivutiwa na sura yake nzuri lakini kwa kweli kuna jambo moja naliona kama haliko perfect kabisa.Ni binti wa miaka 24, tatizo lake ana matiti madogo yaani sijui ni ugonjwa au ni mambo ya gene heritage.
Nikiwa naye kwenye faragha najikakamua kiutu uzima tu ila nashindwa kuenjoy mapambo halisi ya kifuani.
Wakuu hali ya binti kuwa na matiti madogo ni ugonjwa au husababishwa na nini?
kuna mahali umegusa kwenye point ila sihitaji kujieleza sana ila ndo hivyo tarehe mkuu zinatumika.Basi kama unatumia tarehe peke yake,hapo najua shemeji yangu umemtesa ile mbaya,coz akikusogeleaa na ukame wake,kuna siku unaibania na kuivalia na jeans na mkanda juu au vipi?,huku ukimwambia leo baby shika bomba tu,maana niko danger days au vipi?nn usinidanganye eti mnatumia ya kuchomoa kabla ya vitu kuruka.
hahahhahaha jamani you are very fun.Nakubaliana na wewe,kweli natural zipo,lakini nilikuwa nafanya kama askari kafika eneo la tukio,mpaka akimaliza maswali ya kiufundi,hapo ndio anakuja kwenye kitu kilichokua wazi,basi umenishinda na nina hakika mzee ana enjoy hiyo kitu adimu(HOT STUFF).
Mmmh! Inabid niombe msaada kwa FBI nimnaseMkuu huyo humuwezi,ana kamba nyingi sana,usishangae siku ya date akakwambia yuko Italy.
Unanibembelezaje kibabe hivo banaAaaaah mamitoo,yaani nakubembeleza lakini unanicheka, aaaah.
mbona yangu makubwa lakini hayashikwishikwi ovyo??
hizi style nyingine bhan.
Aaah basi ngoja nijipange kiaina,maana simba mwenda pole ndio mla nyama.Unanibembelezaje kibabe hivo bana
......mshedede ndo nn?Hapo umenena,maana mshedede ukiwa mkubwa sana na yeye anaweza akakuvumilia tu.
Mtarimbo......mshedede ndo nn?