Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,116
- 12,923
Ukilima matikiti kupitia WhatsApp group, ndani ya mwezi mmoja tu unakuwa trilionea (wakati huo anayekuhamasisha/roll model wako ni motivation speaker)Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Nyumba uliochukulia mkopo ili ujenge kwaajili ya kupangisha payback period yake ni ndefu sio ya shorttimeIla huyu mleta mada huenda ana hoja.
Hebu tu assume umekopa hiyo 50m ukajenga nyumba ya kupanga. Je, ndani ya miaka 7 itakua imerudisha hela ili uanze kupata faida?
Unauliza au unataniaMifuko gani ya utt amis Ina compound interest
Nauliza nataka kujua ni ipi coz sipo Sita kama ni zote Zina compound interest au laUnauliza au unatania
Moja ya vitu nisivyojali kabisa ni kurudishiwa hela nilizomkopesha mtu.Usi hangaike we kopa kwa Kiranga, ili wakati wa kulipa ujue hell ina exist hapa hapa duniani
Elimu yako tafadhali nijue namna ya kukujibuNauliza nataka kujua ni ipi coz sipo Sita kama ni zote Zina compound interest au la
Barikiwa mkuu kwa moyo huo wa utoaji, ila huenda una kaushia kwa kuwa mzigo ni mnene.Moja ya vitu nisivyojali kabisa ni kurudishiwa hela nilizomkopesha mtu.
Kwa sababu nikimkopesha mtu tayari huwa nahesabu nimetoa charity. Sitegemei irudi.
Halafu naangalia character yake.
Kuna mtu tumekua naye alinililia njaa nikampa hela, tena si ndogo. Kabla ya kunilipa akanililia tena, nikampa tena.
Sasa hivi hata kunisalimia anaona haya.
Hiyo ilikuwa 2018.
Sijawahi kumuuliza hata mara moja ile hela yangu vipi.
Sasa hivi nipo behind a firewall.Barikiwa mkuu kwa moyo huo wa utoaji, ila huenda una kaushia kwa kuwa mzigo ni mnene.
Hahaha character baada ya kupokea, huwa ina define uhalisia wa watu wengi.
Ila usife moyo, mimi uki nikopa nita rudisha hata iwe senti mia.
Picha lina anza muhasibu ana miliko glock, huku aki hitaji barua yako ya uthibitisho wa kurejesha mkopo.Sasa hivi nipo behind a firewall.
Ukitaka mkopo nakwambia mimi sihusiki na habari za pesa, muhasibu wangu anashughulikia mambo hayo nenda kaongee naye.
Muhasibu mwenyewe sasa!
Picha linaanza muhasibu ni mwanajeshi pia.Picha lina anza muhasibu ana miliko glock, huku aki hitaji barua yako ya uthibitisho wa kurejesha mkopo.
Na deni lita lipwa vipi iki tokea ume enda mia😂😂
Kwangu mimi ni bad move , kwanza kwa riba ya CRDB ukikopa 55M makato yako si chini ya 1M kwa mwezi kwa miaka 7Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Awekeze mifuko yenye gawio la mwezi ale Faida ya Kila mwezi huku anafikilia cha kufanyaKuna scenario hapa, mfano labda mtu kapata let's say 100m kwenye source ambayo ni ngumu kupata tena hicho kiasi mfano betting au hela za urithi nk, je huyu mtu anaweza kuwekeza wapi hizi pesa na ukizingatia kwamba kwa sasa hana experience ya biashara yoyote na kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Je huyu mtu utampatia ushauri gani ili fedha zake zisipotee kiholela
AsanteAwekeze mifuko yenye gawio la mwezi ale Faida ya Kila mwezi huku anafikilia cha kufanya
Nunua hisa 50M kama upo under 40. 40 zingine weka UTT , 10 Zungusha biashara faida utakayopata jenga ,,Kuna scenario hapa, mfano labda mtu kapata let's say 100m kwenye source ambayo ni ngumu kupata tena hicho kiasi mfano betting au hela za urithi nk, je huyu mtu anaweza kuwekeza wapi hizi pesa na ukizingatia kwamba kwa sasa hana experience ya biashara yoyote na kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu.
Je huyu mtu utampatia ushauri gani ili fedha zake zisipotee kiholela