Kama akichukua faida ya UTT (bila kugusa ile 50m ya mtaji) halafu akawa anajazia hiyo difference kutoka mfukoni kwake, baada ya miaka 10 atamaliza deni, na atakua na 50m yake UTT.Kama ukikopa 50M kwa riba ya 18% na if possibe kuirudisha ndani ya miaka 10 (miezi 120) utarudisha milion 59. Kama ukiweka UTT , 50M bila kutoa hata 100 ndani ya miaka 10 utapata 155.2M so kama utakuwa unategemea kila faida ya mwezi ya utt kurudisha mkopo inamaana hutopata ile compound interest . Tufanye hiyo milion 50 ikupe 450,000 kila mwezi X 120 badoutarudi pale pale hiyo ni kwa riba ya 18% juu ya hapo utapata loose zaidi
Sasa Mimi nazungumzia anayeacha compounding interest na kulipa mkopo kivingine. Mfano Mimi nitachukua 51m na kuweka huko Kwa miaka kumi. Mkopo unalipwa Kwa mshahara.Haihitaji hata Chatgpt . Kiuhalisia haitakulipa maana faida ya kila mwez ya UTT utakuwa unaitoa kulipa mkopo hapo tayari umeondoa compound interest so utajikuta na loose bila hiyo compound interest
Exactly. Ndio maana mimi nimesema kama mtu ana mshahara unaotosha kulipa hilo rejesho, ni uwekezaji mzuri kuliko kujenga nyumba ya 50m usubirie kodi ya 200,000 kwa mwezi (hujaweka maintenance, kurushwa kodi, wapangaji kukimbia bila kulipa, nyumba kukaa bila mpangaji nk..Ishu atafute source ya kulipa mkopo ila sio gawio la utt
ExactlyKama akichukua faida ya UTT (bila kugusa ile 50m ya mtaji) halafu akawa anajazia hiyo difference kutoka mfukoni kwake, baada ya miaka 10 atamaliza deni, na atakua na 50m yake UTT.
Sawa sawa.Exactly. Ndio maana mimi nimesema kama mtu ana mshahara unaotosha kulipa hilo rejesho, ni uwekezaji mzuri kuliko kujenga nyumba ya 50m usubirie kodi ya 200,000 kwa mwezi (hujaweka maintenance, kurushwa kodi, wapangaji kukimbia bila kulipa, nyumba kukaa bila mpangaji nk..
YesExactly. Ndio maana mimi nimesema kama mtu ana mshahara unaotosha kulipa hilo rejesho, ni uwekezaji mzuri kuliko kujenga nyumba ya 50m usubirie kodi ya 200,000 kwa mwezi (hujaweka maintenance, kurushwa kodi, wapangaji kukimbia bila kulipa, nyumba kukaa bila mpangaji nk..
Labda hiyo , lakini unaonaje kama ungewekeza huo mshara 500k per month kwa miaka 10 😊Sasa Mimi nazungumzia anayeacha compounding interest na kulipa mkopo kivingine. Mfano Mimi nitachukua 51m na kuweka huko Kwa miaka kumi. Mkopo unalipwa Kwa mshahara.
Yap yap. Na ukiweza kuendelea kuacha utt Kwa miaka mingine mitano unakula huku unacheza draft.Kimahesabu iko hivi:
Ukikopa milioni 50 leo, kwenye benki yenye riba ya asilimia 18, kwa marejesho ya miaka 10, jumla utarejesha shilingi milioni 108.
Hiyo milioni 50 ukiiwekeza leo UTT, kwa riba ya asilimia 12 kwa mwaka, kwa muda wa miaka 10, itazalisha shilingi milioni 165.
Kama huo mkopo wa 50m utakua unakatwa kwenye mshahara (hautoi UTT), baada ya miaka 10 utakua huna deni, na una milioni 165 UTT.
Italeta faida kidogo kuliko kuweka 50m at once. Kwa sababu compounding interest itakua ya laki tano...... versus ya 50m.Labda hiyo , lakini unaonaje kama ungewekeza huo mshara 500k per month kwa miaka 10 😊
Umeshafanya tafitiNimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Atakuwa na milioni 50+Labda hiyo , lakini unaonaje kama ungewekeza huo mshara 500k per month kwa miaka 10 😊
Kitu ambacho hamjui ni kwamba hiyo faida ya UTT Kila mwezi inajiongeza kwenye hiyo 50 mil inakua kwa compound interest inamaana faida ya mwanzo wa mwezi haiwezi kuwa sawa na faida utakayoipata mwezi kwa kumi na kuendelea maana Hela ya uwekezaji inakua inajiongeza Kila mweziKama ukikopa 50M kwa riba ya 18% na if possibe kuirudisha ndani ya miaka 10 (miezi 120) utarudisha milion 59. Kama ukiweka UTT , 50M bila kutoa hata 100 ndani ya miaka 10 utapata 155.2M so kama utakuwa unategemea kila faida ya mwezi ya utt kurudisha mkopo inamaana hutopata ile compound interest . Tufanye hiyo milion 50 ikupe 450,000 kila mwezi X 120 badoutarudi pale pale hiyo ni kwa riba ya 18% juu ya hapo utapata loose zaidi
Inajiongeza kila siku mkuu, faida ya leo sio sawa na kesho.Kitu ambacho hamjui ni kwamba hiyo faida ya UTT Kila mwezi inajiongeza kwenye hiyo 50 mil inakua kwa compound interest inamaana faida ya mwanzo wa mwezi haiwezi kuwa sawa na faida utakayoipata mwezi kwa kumi na kuendelea maana Hela ya uwekezaji inakua inajiongeza Kila mwezi
Mifuko gani ya utt amis Ina compound interestKitu ambacho hamjui ni kwamba hiyo faida ya UTT Kila mwezi inajiongeza kwenye hiyo 50 mil inakua kwa compound interest inamaana faida ya mwanzo wa mwezi haiwezi kuwa sawa na faida utakayoipata mwezi kwa kumi na kuendelea maana Hela ya uwekezaji inakua inajiongeza Kila mwezi
115M+ MkuuAtakuwa na milioni 50+
Liquid na BondMifuko gani ya utt amis Ina compound interest
Usisahau baada ya miaka miwili thamani ya pesa itashuka na purchase power itashukaUkiweka utt 50m
Kwa mwezi utapata faida ya 500k
Kwa mwaka ni 6m
Je marejesho ambayo utakuwa unarudisha kwenye huo mkopo utatoa wapi???
Na kama utakuwa unakatwa kwenye mshahara then what?
Ushauri wangu weka kila mwezi laki mbili kwa miaka 15 utapata si chini ya 55m
Kweli kabisa nilikosea niliandika faidaNi
115M+ Mkuu
Hiyo ndo mizur ya kuwekezaLiquid na Bond