Nataka nikope benki niwekeze UTT

Nataka nikope benki niwekeze UTT

Tumbili in town

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2025
Posts
340
Reaction score
500
Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,

Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k

Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
 
Ukiweka utt 50m
Kwa mwezi utapata faida ya 500k
Kwa mwaka ni 6m

Je marejesho ambayo utakuwa unarudisha kwenye huo mkopo utatoa wapi???

Na kama utakuwa unakatwa kwenye mshahara then what?

Ushauri wangu weka kila mwezi laki mbili kwa miaka 15 utapata si chini ya 55m
 
Mkopo wa mil 50 benki wanataka marejesho kiasi Gani Kwa mwezi?
 
Ukiweka utt 50m
Kwa mwezi utapata faida ya 500k
Kwa mwaka ni 6m

Je marejesho ambayo utakuwa unarudisha kwenye huo mkopo utatoa wapi???

Na kama utakuwa unakatwa kwenye mshahara then what?

Ushauri wangu weka kila mwezi laki mbili kwa miaka 15 utapata si chini ya 55m
Miaka 15, jumla atakuwa na 99M
 
Ukiweka utt 50m
Kwa mwezi utapata faida ya 500k
Kwa mwaka ni 6m

Je marejesho ambayo utakuwa unarudisha kwenye huo mkopo utatoa wapi???

Na kama utakuwa unakatwa kwenye mshahara then what?

Ushauri wangu weka kila mwezi laki mbili kwa miaka 15 utapata si chini ya 55m
Ikiwa anakatwa kwenye mshahara mpaka mkopo wa mshahara unaisha ATAKUA amepata faida. On condition hiyo riba ya mwezi asiichukue awe anaireinvest.

Ikiwa atachukua hiyo laki tano kulipa mkopo wa benki hawezi kupata faida.
 
Back
Top Bottom