Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,522
- 6,921
Huku wapo mawakala wazuri tuuuu.
Kuna mkenya mmoja akiitwa ABOUD ROGO akiwahimiza watu wazi wazi waende somalia kupigana jihadi,wakajiripuee n.k(huyu amekufa miaka ya 2013 aliuliwa na watu wasiojulikana)
Hapa tanzania kuna kijana mmoja wa mwanza alisoma pemba kwa maalim hamza (jina nalihifadhi)huyo kijana alikuwa ana wahimiza waislamau waende somalia wakapigane na kujiripua hapa tanzania ukafiri mtupu.
Na wako weeeengi tanzania ambao wana fikra hizo za kujiripua ndyo maana nakuambia hivyoo mkuu.
Ila wapo watu ambao hawafundishi fujo,hawafundishi jazba japo kuwa ukiwaona utawaona wana ndevuu nyiiingii unaweza sema ni kama kina osama ila ni watu wazurii hawana fikra mbaya za kujiripua ripua.
Kwa Mbeya nenda Msikiti Mkuu pale upo umbali mfupi kutoka Stendi kuu ya Mabus Mbeya kuna ustaadhi pale na vijana wanaishi pale pale ndani ya eneo la msikiti watakusaidia sana.Makazi yangu mara nyingi nipo Moshi, Mbeya mjini na Iringa mkuu...nipe ushauri
Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.
Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni kwamba lugha inayotumika ni ile halisia iliyotumika kuandika hii quaran, Napenda sana napokua kwenye dini nisome kwa maandiko orijino, kusiwe na kitu ambacho kimeongezewa wala kupunguziwa, wala kutafsiriwa.
Kuna makosa madogo katika tafsiri ya lugha iliyotumika kwenye maandiko ya kihebrania ya biblia mfano biblia zetu zilizotafsiriwa zimeandika mama yake Yesu alikua ni bikra na ndicho wengi huamini ila biblia orijino ya kiebrania imeandika kwamba mama yake yesu alikua ni mwanamke mdogo anayeweza kuzaa,
Kwa vile hapa Tanzania ni nadra sana kukuta madarasa ya kiebrania Ningejaribu mbali kujua kihebrania ila jitihada zingegonga mwamba kwa sababu nilifatilia kwamba kwamba huko israel dini ya ukristo ni asilimia 2 tu wanaoiabudu tangu ilioruhusiwa mwa juzi (2016) ambapo wengi huabudu judaism na uislamu.
Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,
Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.
Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.
NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
Ukiwa seriously Sana ni miez mitatu usipokuwa serious miez sita na ukiwa mvivu mwakaJapo Elimu haina mwisho, kujua na kusoma Qur'an inaweza kuchukua muda gani kwa mtu ambaye ni mweupe kabisa kichwani lakini kila siku anaweza kutenga masaa mawili? Binafsi nahitaji kujifunza nahisi kama naweza kusilimu siku zijazo nafsi yangu inaniambia hivyo...
We nenda..utapangiwa muda mbona kuna Madrasa za watu wakienda hadi wa 30 na 40 years? We nenda tu utabarikiwa.madrasa huko si ni watoto tu
Citation needed!!Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.
Japo Elimu haina mwisho, kujua na kusoma Qur'an inaweza kuchukua muda gani kwa mtu ambaye ni mweupe kabisa kichwani lakini kila siku anaweza kutenga masaa mawili? Binafsi nahitaji kujifunza nahisi kama naweza kusilimu siku zijazo nafsi yangu inaniambia hivyo...
Hahahaaaa sitesek ndugu Yangu fresh lakinNgosha mbona unateseka kama WASSIRA
Fresh kaka nambieHahahaaaa sitesek ndugu Yangu fresh lakin
Hebu rudia kuandika tena.Na hii umeisoma?. Mungu ni mmoja na hana mshilika. Nyingine inasema . Mwenyewe umejifanyia mambo, hata yakakufika hayo, nasi tunakutuma kwa watu ukawe mtume kwao. Sasa waulize ivi kama hanashilika ni wakinanani hawa waliokubaliana kumfanya mtume?. Zingatia neno NASI inamaana ni wingi,zaidi ya wawili,na hana mshirika. Tumeondoka dini hiyo. Mwanzoni família ilinitenga badae wote ni wakristu . Asikudanganye mtu yesu ni njia ya kweri na ufufuo wa uzima.
Hii miezi 3 unakuwa umekariri kama wimbo.3 months
Nilitaka nishangae mada kama hii ikupiteNenda madrasa au mskiti wowote wa karibu yako utapata private tutor.
Mtandao pia una site nyingi sana za kufundisha Qur'an lakini ni vyema ukapata basics face to face.
Ni wepesi sana kusoma Qur'an na Kiarabu. Hususan kwa anaefahamu Kiswahili.
Bila kubamizwa makofi na ustadh utachukua miaka mingi Sana ,mtume mwenyewe alikabwa na jibrilJapo Elimu haina mwisho, kujua na kusoma Qur'an inaweza kuchukua muda gani kwa mtu ambaye ni mweupe kabisa kichwani lakini kila siku anaweza kutenga masaa mawili? Binafsi nahitaji kujifunza nahisi kama naweza kusilimu siku zijazo nafsi yangu inaniambia hivyo...
Mkuu nimekuelewa sana. Mimi binafsi siyo muumini wa dini yoyote baada ya kukulia katika ukristu nkuufuata tangu nikiwa mdogo. Na nilibahatika kusoma katika shule za seminari nimesoma biblia na nilipata A katika mtihani wa Taifa. Nimesoma Seminarini miaka sita lakini nimeamua kubaki kama mtu ninayeamini Mungu yupo ila sina imani na dini yeyote na wanangu wanalijua hilo ila sina wasiwasi na mtu kuamini anachokitaka na nimeweka wazi kwa wanangu wafuate wanachokitaka. Mmoja kaamua kuwa muislam wengine wakristu.Ee naam mkuu,wengine watakuambia kafiri auwawe tuu hakuna kushirikiana naye,alafu anatoa aya mahali ambapo haikukusudiwa hivyo.
Yaani mfano wa watu walioedit ile clip ya magufuli ya you know you know alafu hata uingereza hajaaaaaafika.
Au ile ya injiniaa akibabaika kusoma namba hahahha.
Sasa haya sitaki huyu ndugu yangu yamkute,kuna madhara makubwa sana.
Kuna mtu alimuuwa mama yake kwa kusema ni kafiri,kwa sababu ya fikra ambazo alifundishwa huko madrasani kwake.
Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.[/Q
Acha kuongopea watu kati ya msikitini na kanisani wapi wanapotoa majini?Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.
Yes mkuu ndyo mana na mimi namsisitizia mtoa mada atafute sehemu salama akasomee na sio kwa kila shekhe tu.Mkuu nimekuelewa sana. Mimi binafsi siyo muumini wa dini yoyote baada ya kukulia katika ukristu nkuufuata tangu nikiwa mdogo. Na nilibahatika kusoma katika shule za seminari nimesoma biblia na nilipata A katika mtihani wa Taifa. Nimesoma Seminarini miaka sita lakini nimeamua kubaki kama mtu ninayeamini Mungu yupo ila sina imani na dini yeyote na wanangu wanalijua hilo ila sina wasiwasi na mtu kuamini anachokitaka na nimeweka wazi kwa wanangu wafuate wanachokitaka. Mmoja kaamua kuwa muislam wengine wakristu.
Ila hua napenda sana kuongea na watu kama wewe ambao wanasema ukweli kwa maana kufundisha watu bila kukashifu ama kujifanya kama wao ndiyo kamili kuliko wengine. Kama Watu wote wa dini wangekua kama wewe sisi wengine tungebaki waumini wazuri lakini ukiona mtu anakshifu mwenzie bila kutoa sababu za kumvutia mtu ahamie kwake hapo ndipo ninakwazika.
Kwanini naita dini ni utapeli sina maana ya kukashifu wanaofuata bali viongozi wengi ni wababaishaji. Hainijii akilini kwanini mkristu wa Roma ajifanye ni bora zaidi ya mkristu m pentecostal vivyo hivyo m pentecostal amuone Mroma si bora. Ukiingia Uislam vilevile Suni anajiona ni bora zaidi ya Shia mpaka kupigana vita na kuuana. Nini unakipata kwa kumuua m Shia sababu wewe ni Suni na vice versa. Ni biaahara pekee watu hugombana. Mwanza waumini walimpiga Askofu Maeneo tofauti misikitini watu wanagombana. Dini si ndiyo ilitakiwa kufanya watu waishi kwa kupendanna sasa ugomvi unalwtwa na nini?