Ohooo huyo anafundisha chuki .....uislamu hautaki hivyoKwa maeneo aliyopo sina uenyeji nako labda nifanye mpango niwasiliana na Baadhi ya wanafunzi wa maeneo hayo kama atakuwa tayari ni mpe namba za walioko huko wakamuelekeze sehemu salama ya kusoma.
Naogopa asije akasoma kisha baada ya mwaka anakuja kusema waru wavae mabomu wakajiripue kuua makafiri.
Hizi fikra hizi nazipiga vita kukicha ndyo maana napenda akajifunze sehemu salama.
Nakumbuka kuna sehemu nilikuwa nasoma elimu ya hadithi basi kuna haduthi moja bhana inasema
الدنيا سجن المؤمن وجنة الكافر dunia ni jela kwa muumini na dunia ni pepo kwa kafiri.
Basi yule mfundishaji akasema "si mnaona leooo waislamu wanateswa,lazima tulipe kisasi,mashekhe wanafungwa n.k"
Nikasema huyu atanivisha mabomu siku sio nyingii...nikasepa zangu mie
Ohooo huyo anafundisha chuki .....uislamu hautaki hivyo
Tooobaaaa aliko saa hii anakula virungu vya kutosha hahahahahEe naam mkuu,wengine watakuambia kafiri auwawe tuu hakuna kushirikiana naye,alafu anatoa aya mahali ambapo haikukusudiwa hivyo.
Yaani mfano wa watu walioedit ile clip ya magufuli ya you know you know alafu hata uingereza hajaaaaaafika.
Au ile ya injiniaa akibabaika kusoma namba hahahha.
Sasa haya sitaki huyu ndugu yangu yamkute,kuna madhara makubwa sana.
Kuna mtu alimuuwa mama yake kwa kusema ni kafiri,kwa sababu ya fikra ambazo alifundishwa huko madrasani kwake.
hizo mambo si huko libya na nigeria boko haram, Kwani hadi tanzania yapo haya mambo ya kufundishana ugaidi😱😱Kwa maeneo aliyopo sina uenyeji nako labda nifanye mpango niwasiliana na Baadhi ya wanafunzi wa maeneo hayo kama atakuwa tayari ni mpe namba za walioko huko wakamuelekeze sehemu salama ya kusoma.
Naogopa asije akasoma kisha baada ya mwaka anakuja kusema waru wavae mabomu wakajiripue kuua makafiri.
Hizi fikra hizi nazipiga vita kukicha ndyo maana napenda akajifunze sehemu salama.
Nakumbuka kuna sehemu nilikuwa nasoma elimu ya hadithi basi kuna haduthi moja bhana inasema
الدنيا سجن المؤمن وجنة الكافر dunia ni jela kwa muumini na dunia ni pepo kwa kafiri.
Basi yule mfundishaji akasema "si mnaona leooo waislamu wanateswa,lazima tulipe kisasi,mashekhe wanafungwa n.k"
Nikasema huyu atanivisha mabomu siku sio nyingii...nikasepa zangu mie
Tooobaaaa aliko saa hii anakula virungu vya kutosha hahahahah
Kwakweliii mungu atusaidieAhahahaha kama kafa.tehehhehe.
Mtihani dada yangu,uislamu wa sasa huu kuna majitu mengii kila mtu asema lake tuu mradi wanakurupuka kutoa aya tuu vuuu vuu.
Huku wapo mawakala wazuri tuuuu.hizo mambo si huko libya na nigeria boko haram, Kwani hadi tanzania yapo haya mambo ya kufundishana ugaidi😱😱
Kwakweliii mungu atusaidie
Hapana. Ikiwa madrassa ya watoto tu nyingi huwa na saa/siku za watu wazima, pia wanaweza kumfanyia "private tutoring".madrasa huko si ni watoto tu
Roho mtakatifu anayefunga ndoa za jinsia mojaUkristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.
Natafuta sana App nzuri ya kujifunzia...Nenda madrasa au mskiti wowote wa karibu yako utapata private tutor.
Mtandao pia una site nyingi sana za kufundisha Qur'an lakini ni vyema ukapata basics face to face.
Ni wepesi sana kusoma Qur'an na Kiarabu. Hususan kwa anaefahamu Kiswahili.
Acheni kumsumbua aende msikiti wowote ulio karibu nae anaweza kuelekezwa madrasa ilyo karibu na yeye.TAMTA...NI CHUO BORA CHA KIISLAM...hii nduo chuo bora Tanzania nzima na wala hawana ada ya kutisha...50,000/= tu mwaka mzima...ukikaa bweni unalipa 80,000/= ukija njoo tujiunge pamoja...mimi naanza wiki hii...
Usiwe mnafiki andika hapa yaliyokufanya uhame watu wajue.
Binafsi nakutakia kila kheri huko uendako ila jitahidi sana kupata walimu wa ukweli wanaoijua dini siyo hawa wa humu JF. Mwalimu wa kweli atakusaidia na kukuongoza vizuri kama Faizafoxy alivyokuambia. Ukiingia choo cha wanawake ukakutana na walimu bomu usishangae ukavalishwa mabomu ukaenda kulipua ndugu zako na wasio na makosa.
Walimu wa uongo watakueleza ukawasaidie waislau wenzako Afghanstan na Iraq utadhani hapa Tanzania hakuna waislam. Watakuambia Waisraeli ni wabaya huku wanamtambua Yesu na Musa wakati hao waiwili ni Waisraeli pia.
Mwisho hakuna tofauti ya ulikohama na unakohamia wote ni matapeli tu. Haakuna kitu kinaitwa dini ni cha ukweli zaidi ya utapeli na kudanganyana.
Mchana mwema
Nakumbuka nikiwa darasa la kwanza nilianza hilo zoezi, nakumbuka herufi ya kwanza tu alif.... tena unaanzia kushoto kwenda kulia..Zingine sikumbuki
Kama una mpango wa kufanya kazi uarabuni, better do it.