Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

Kifundushi cha 19500 channel zilizo active ni 75+ na kifurushi kikiisha huwa wanabakisha Channel local 2_za Tbc na Channel Ten.In short Dstv wapo okay .
Umetubuluza jombaa.hiyo Chanel ten ni namba ngapi?maana kifurushi kikikata huwa wanaacha tbc1,Dstv 100,409,447,448,449 pekee.
 
Hivi wenzangu, huko kwenye DsTV taarifa ya habari huwa mnatumia channel gani kufuatilia, nimechoka kuoneshwa zile hotuba za mzee wa chatu mimi!!
 
Anaetaka access ya DStv Now aje kifurushi ni compact utaona Premier League live !

Utanipoza hata hela ya bia mbili tu
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Hatimaye nimefanikiwa kuchukua sema fundi kazingua kanambia hadi kesho kukifunga
0792d594791a38e8d37c08b265513f17.jpg
Alie na 50 fasta aje akichukue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom