Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Nataka nihame star times, ila sasa changamoto ni kuwa niende Dstv au Azam Tv, ila hawa Azam tv naona wengi wakilalamika kuhusu kujaa kwa chaneli za kihindi ambazo hazina mvuto.

Nikaafiki nitafute Dstv ila uwezo wangu ni kifurushi cha bei ya chini cha BOMBA, vipi chaneli zilizopo kwenye hiko kifurushi zina mvuto? au ndio mpaka vile vya bei kubwa wakuu?

Naombeni majibu wakuu!
 
Mimi ninatumia dstv kwa Muda Sasa Mara nyingi uwa ninalipa kutokana na target yangu kama mwezi uhu wa December nimelipia kifurushi cha compact offer. Yao ni 69000/= wamenifurahisha Sana wamenifungulia chaneli zote za ss1 hadi ss12 mechi zote ninabadili chaneli tuuuu..... Sinema za ukweli, muziki non stop, comedy, news, na katuni za kufa mtu..... Karibu ulimwengu wa HD.......
 
Kwa kifurushi hiko unapata na movies latest?
 
Kwa kweli hawa DSTV hakuna wa kumfananisha naye kwani hata kifurushi hicho cha bei rahisi still unaenjoy tu

Tokea niwahame startimes August mwaka huu sijawarudia tena,wanabaki kunipigia misimu tu wakinishawishi nilipie, mi nawaambia nipo kwa wakongwe wa digitali ambao kwanza kila chaneli picha ni HD balaa
 
Hahahaaaaas
 
Mkuu DSTV movies zao nyingi si za zamani sana,unakuta movie ni ya mwaka 2014,na nyingine ni za mwaka huu,yaani kiujumla jamaa wanajitahidi sana aisee,yaani ukiwa home huboreki aiseeee
Alafu kuna dstv explora hiyo ni shida mkuuu movie zake ni latest sema kwenye malipo lazima uwe na makinikia YA kutosha ili uweze kufaidi....... Alafu yenyewe unaweza kuweka pause kama unaongea na simu au unataka kwenda wash room aichagui iwe ni mpira au kiru chochote kilichopo kwa Muda uwo, Alafu unaweza kufanya na recording.... Sema yenyewe IPO juu kununa decoder yake Ila dish yanaingiliana....
 
Kumbe wako vzr, kifurushi cha 19000 napata na chaneli za movie? nataka nihame azam tv maana nalipa 18000 naishia kuangalia cecafa tu na sinema zetu pamoja na bombay movie
 
Kwa kifurushi hiko unapata na movies latest?
Inabidi Uwe na dstv explora ihii unaweza kulipia kwa siku mbili, tatu kadri uwezavyo na siku kuna movie mzuri
Alafu kuna dstv explora hiyo ni shida mkuuu movie zake ni latest sema kwenye malipo lazima uwe na makinikia YA kutosha ili uweze kufaidi....... Alafu yenyewe unaweza kuweka pause kama unaongea na simu au unataka kwenda wash room aichagui iwe ni mpira au kiru chochote kilichopo kwa Muda uwo, Alafu unaweza kufanya na recording.... Sema yenyewe IPO juu kununa decoder yake Ila dish yanaingiliana....
 
Alafu kuna dstv explora hiyo ni shida mkuuu movie zake ni latest sema kwenye malipo lazima uwe na makinikia YA kutosha ili uweze kufaidi....... Alafu yenyewe unaweza kuweka pause kama unaongea na simu au unataka kwenda wash room aichagui iwe ni mpira au kiru chochote kilichopo kwa Muda uwo, Alafu unaweza kufanya na recording.... Sema yenyewe IPO juu kununa decoder yake Ila dish yanaingiliana....

Daaaaaaaah hiyo mi naitoleaga mimacho tu kwani sijawahi kuilipia,ila dah, ebwana dah,hawa DSTV ngoja vimakinikia vyangu viongezeke nipilipie hata cha elf69,hawa jamaa acha wawe ghali tu huduma zao ni safi sana
 
Kumbe wako vzr, kifurushi cha 19000 napata na chaneli za movie? nataka nihame azam tv maana nalipa 18000 naishia kuangalia cecafa tu na sinema zetu pamoja na bombay movie

Hama baba hama,wala usijifikirie,cha elf 19 wana chaneli yao moja ya movie inaitwa M-net Movie Zone, ipo poa sana ,ni movie za kinyamwezi tu, pia wana chaneli za movies za kinigeria kama nne hivi ambazo nazo usipime,ukija kibongo bongo wana chaneli inayoonyesha muvi kali za kibongo,jamaa wanajitahidi sana aiseee,sifikirii kabisa kurudi tena huko startimes,huku unalipia hela yako halafu unachekelea,sio kule unalipia huku unanuna
 
Nataka nihame star times, ila sasa changamoto ni kuwa niende Dstv au Azam Tv, ila hawa Azam tv naona wengi wakilalamika kuhusu kujaa kwa chaneli za kihindi ambazo hazina mvuto.

Nikaafiki nitafute Dstv ila uwezo wangu ni kifurushi cha bei ya chini cha BOMBA, vipi chaneli zilizopo kwenye hiko kifurushi zina mvuto? au ndio mpaka vile vya bei kubwa wakuu?

Naombeni majibu wakuu!
Nunua dish kwanza ndo uje kuuliza.
 
Hama baba hama,wala usijifikirie,cha elf 19 wana chaneli yao moja ya movie inaitwa M-net Movie Zone, ipo poa sana ,ni movie za kinyamwezi tu, pia wana chaneli za movies za kinigeria kama nne hivi ambazo nazo usipime,ukija kibongo bongo wana chaneli inayoonyesha muvi kali za kibongo,jamaa wanajitahidi sana aiseee,sifikirii kabisa kurudi tena huko startimes,huku unalipia hela yako halafu unachekelea,sio kule unalipia huku unanuna
Nawezakutumia dish hili la azam tv? ili ninunue tu decoder ya Dstv
 
Hama baba hama,wala usijifikirie,cha elf 19 wana chaneli yao moja ya movie inaitwa M-net Movie Zone, ipo poa sana ,ni movie za kinyamwezi tu, pia wana chaneli za movies za kinigeria kama nne hivi ambazo nazo usipime,ukija kibongo bongo wana chaneli inayoonyesha muvi kali za kibongo,jamaa wanajitahidi sana aiseee,sifikirii kabisa kurudi tena huko startimes,huku unalipia hela yako halafu unachekelea,sio kule unalipia huku unanuna
sisi wadau wa michezo chaneli za michezo zipo za kuvutia kwenye kifurushi cha 19000?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom