Nataka nifungue blog ya confession (kutubu)

Don't ever do that.
Hakuna privacy yeyote mtandaoni.
Hata Whatsapp yenyewe wana siri zako zote sema zile servers huwa zinadumu muda fulani mpaka mwenye server atakapotaka kufuta ikiwa itajaa. Privacy yako inaweza ikatumika kinyume chako.

Unahitaji kutubu only to God alone. God is the only source of peace of mind.
Ok
 
we fala nyuzi zangu zote zipo ! hii mada mi nilicomment tu….usiwashwe sana utaolewa
Unataka niipaste hapa?
Wakuolewa ni ww mtoto legevu. Mi ni dume la mbegu umri sawa na wa babaako.
Halafu punguzeni kulamba lamba midomo na kujilegeza legeza otherwise mtapasuliwa sana jicho.
 
ipaste tu kiongozi!! Kama uzi upo si ucopy hapa!!
Mbona umeng’ang’ana na uchoko
 
Anza tu tunakusikiliza
Wanasema ukiujua mfumo wa kitu chochote hakika hakuna kitu wala mtu atakaye kusumbua.

Wakati nasoma chuo kwenye canteen ya chuo chai ya maziwa ilikuwa kikombe 500 na yarangi ilikuwa 200. Sasa ukinunua chakula malipo yanafanyika upande mwingine na mahali chai ilipo ilikuwa upande mwingine na hapo hapo kwenye chai pia malipo yalikuwa yanaweza fanyika kama hukuweza kulipa (chai) kule upande wachakula. Sasa kazi yangu ilikuwa nikunywa chai ya maziwa ya bure fo free for 1 year. Ilikuwaje sasa nikifika upande wa chakula nalipia chakula changu kisha naenda direct kwenye chai nachukua chai nikiulizwa ela ya chai nasema nimelipa kule kwenye chakula

Kwanini nilikuwa nafaulu kunywa chai ya bure? Kwasababu hapa katikati kulikuwa hakuna connection ya muuza chai kumuuliza muuza chakula kwamba hiyo ela ya chai imelipwa huko au laa. Ilinichukua miez 3 kustudy hiyo pattern ya free chai kwasababu kuna siku nilikuwa sina ela alafu chai natamanii nikasema liwalo na liwe na hapo ndio ilikuwa mwanzo wangu wa life savings trick. Mpaka namaliza chuo hakuna aliyeijua hiyo siri zaidi ya msela wangu kwakuwa muda mwingi tuna roll nae ndio akawa mitego yangu yote anaijua

Ila hii ilikuwa Life Saving hacks
 
kwaiyo ukilipa hupewi tiket wala kupon??[emoji15]
 
Malipo ni cash sehemu zote wewe ukichukua chakula unakutana na mtu mwishoni anakupa total bill umemaliza, kuponi zilikuwepo kwa wale wanaolipa kwa mwezi kwa mwezi lakini wale wa kila siku hakuna kuponi maana huhitaji hiyo kupon wakat uko na cash
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom