Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,361
Nataka nifungue blog ya confession ( kutubu)
Watu wawe wanasign annonimous kwa ajili ya kutubutu au kukiri jambo fulani ambalo alifanya siri!!…
Watu wengi miaka ya leo wanaugua pressure na magonjwa ya moyo kisa wamejaza siri nyingi sana .Hii itasaidia kwa wale ambao wanakaa na siri za muda mrefu kupumua… na kuponya nafsi
Hii idea niliiona [emoji1139] hapo!! Ila msiniiibie hili wazo!
Toa maoni tafadhari