Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Asante nalifanyia kazi.
 
TATIZO Kuna watu wa DINI Fulani hawasomi kabisa yani hawasomi.

Mimi nimefanya tafiti, nimechimba nimechimbua, nimeitafuta vitabu Hadi Nchi za watu.

Mtu mmoja anasema Mimi nalopoka.
MNAWADHALILISHA WAISLAMU WENZENU.
NYIE KIDOGO TU HASIRA MATUSI KUJILIPUA, KUJITOA MUHANGA.
Hizi TABIA zote zimeamdikwa kwenye kuanzishwa DINI ya kiislamu.
UFUNUO 9
Hiki KITABU kiliandikwa miaka 1500 kabla ya UISLAMU


FICHE I UJINGA WENU
 
Huo ni uongo. Ufunuo umeandikwa ili kumfunua Yesu.
Siyo mambo yajayo. Ni yale yaliyopita
 
Watu wanaendelea kudanganywa huku wengine wakifanya maendeleo.......[emoji1787][emoji1787]
 
Andika hapa au andaa uzi mara ngapi unakimbia?
 
Katika mfumo wa shetani upo mpangilio wa namba 6 ambao kila mmoja unasimamia kitengo fulani.
Pana 111,333,555,666,777,na 999.
666 inashughulika na uchumi, hizo namba zingine ni kitengo cha mambo ya siasa, technology, dini,afya,, nk,sio mada yake kuhusu uchambuzi huu wa namba.
Papa ni mfumo wa dini tena kwa wakatoliki,papa ni kiongozi wa wakatoliki na sio kiongozi wa Wakristo hana amri juu ya Wakristo bali Wakatoliki,na sio mfumo wa uchumi.
666 ni mfumo wa kiuchumi na sio mfumo wa kidini,asiye na chapa yaani asiyefata mfumo huo wa kiuchumi hawezi uza au nunua. Mfano huwezi panda ndege bila kuchanjwa huu ni mfumo Ili upate huduma ni lazima ufate walichoweka.
Ujio wa corona ilikuwa ni test ya 666 walikuwa wanapima matokeo.
So 666 ni mfumo na sio Mtu. Papa hana influence kwa dunia bali kwa wakatoliki Papa mwenyewe yupo under control ya system ya dunia, ambayo akienda kinyume nayo wanamuua, atakuaje 666 sasa? 666 ni mfumo wa wakuu wa Dunia Pope ni mkuu wa dunia, wapo group ambao wao ndio uamua dunia iende vipi.
Hao ndio uamua wimbo gani uchezwe duniani ugaidi, corona, ushoga,
 

Ukweli tunao tayari toka kwenye Biblia, unachotafuta ni laana tu ku challenge Mambo yasiyo kuhusu in public.
 
Nilopofika kwenye U kuwa V sikuendelea!!!

KWANINI" U" IWE "V"
 
JE WATU WASIOJUA KUSOMA NI AKINA NANI.

QURAN 62:2 - Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma........

MTUME HAKUJUA KISOMA NA AKAPELEKWA KWA WATU WASIOJUA KUSOMA.

WATU WASIOJUAA KUSOMA NI WAISLAMU.
 
Katika huo mstari UISLAMU umetajwa wapi ?!!![emoji1787][emoji1787]
 
Katika huo mstari UISLAMU umetajwa wapi?!![emoji1787]
 
Wazungu wakiota ndoto wakiwaandikia mnaamini!!!

laikini mweusi mwenzetu ZUMARIDI akiota akawasimulia....[emoji1787][emoji1787]
 
Umepuyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…