October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,997
Kabla hujaji'RIPUA' vipi ule mradi wa hiliki?
Tuko mbioni kukusanya mzigo, usije 'JIRIPUA' ukatuacha kwenye mataa.
Mkuu nahitaji nikikosa hata kazi zakawaida nipate shule hizo shule za DSM walimu wote Tz wapo huku.
Nasikia wana stand nzuri sana,kwa kuanzia sio mbaya
KWA UFAFANUZI TU,Nasikia wana stand nzuri sana,kwa kuanzia sio mbaya