Nataka nianze kula mjani

Kula mjani, hauna athari yoyote niamini mimi...tunakoelekea kwanza huko nje watauhalalisha !
 
Ina faida nyingi kwenye mwili wa binadamu kama zipi hizo ?? ..
 
We anza kutumia tu wala usiogope hakuna madhara yoyote nasikiaga eti mzee naniliu naye alikuwa anatumia hii makitu
 
Mkuu upo vizuri
 

Mkuu umenikumbusha 3yrs ago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…