Nataka nianze kula mjani

HAHAHAHAHH! 😂😂😂
 
Mimi nimekula mjani kwa miaka mitano 2008-2012 sikupata tatizo lolote mpaka nilipoamua tu kuacha
 
wana wanywe pombe by rosa ree on playlist... stiki mkononi dry mdogo mdgo no stress
 


Iyo kujistukia ilimkuta jamaa yangu, baada ya kula dawa alipo rudi nyumbani akamkuta mshua anamwamkia fresh. Katoka nje kuchota maji kamwamkia tena kurudi ndani wamekutana koridoni kamwamkia tena mshua akashangaa huyu bwana mbona heshima imezidi leo

Basi kumbana ikaonekana amekula dawa sasa ile kumwamkia mshua ilikuwa kuficha kama ametumia mzigo
 
Mimi nna jamaa yangu ye havuti ila anatafuna, huwa namuwazia simwelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…