Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,350
Reaction score
7,102
Niaje wakuu...

Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.

Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected...

Karibuni ..
 
Niwe mkweli..(I'm not promoting it though)

Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.

Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
 
Welcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea

Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu

Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma, nikki, ghetto, kad go, ngwair, na wengineo wengi
View attachment 1887668
 
Back
Top Bottom