Nataka nianze kubeti

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
30
Reaction score
69
Wakuu Habari za Uzima,

Baada ya kutafuta kazi na kukosa, na Zingine nikipata wananikataa Wakishajua nina Usikivu Hafifu "Hearing Loss " Basi Nimeamua Kuingia kwenye BETTING, Kuna Hela nimepata hapa Elfu10 ndo nataka nianze Nayo, Niwe Natafuta Odds 3 za Uhakika Hata mara 3 kwa wiki sio Mbaya... Naombeni Mawazo Yenu Ndugu Zangu.
 
kaka Unadh
Odds 3 ni ngumu kutoa hasa daily, na mtaji hautoshi kwa sasa nikushauri upambane upate hata kazi kwanza, kama wewe mwanaume amka, hearing loss si kigezo cha kukata tam

Odds 3 ni ngumu kutoa hasa daily, na mtaji hautoshi kwa sasa nikushauri upambane upate hata kazi kwanza, kama wewe mwanaume amka, hearing loss si kigezo cha kukata tamaa
kaka unadhani sipambani !? Brother huwezi Amin Nilipata kazi Bandarini Zanzibar Nilipokwenda Walipojua tuu Sisikii Vzuri Basi kazi wakaninyima, ikabidi nirudi Dar tuu. ila kama una Mchongo Usisite kunipa Nitashukuru Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…