Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Hizi ndio nyuzi za mwendo kazi aiseee....😜Kwa msio elewa BnB
Ni biashara ya kuazimisha nyumba kama hotel ambayo iko na kila kitu ila classic
Kwelii?wasukuma na air bnb wapi na wapi?hiyo biashara ina function dar tu
KweliEbu nivune mazao nitakutafuta mkuu🙌🏾
HayaMkuu Mimi ni kajamba nani lazima utoboe biashara ni humo kwa mumo hakuna kuhoji ni twende
SawaFanya utafiti kwanza uone kama utapata faida au itakua biashara kichaa
Kama hafahamu hawezi nishauri mkuu?Hizi ndio nyuzi za mwendo kazi aiseee....😜
Yaani unaandika kana kwamba kila anaesoma yumo ndani ya ufahamu wako...🤔
Hii point nimeichukua lakin mbona naona Air bnb ni garama kuliko hotelMwanza hawajifikia level za kuwa na Airbnb. Hii biashara inawezekana kwenye majiji ambayo hotel ni gharama kubwa sana.
Huu mchango ndo nilikua nauhitajiMwanza haina wageni wengi kuweza kustawisha hiyo biashara ya airbnb
Kwa maoni yangu, hiyo biashara inafaa kwenye maeneo yenye wageni wengi hasa wa Kimataifa
Kwa utafiti wangu, hiyo biashara inalipa Zanzibar, DSM na Arusha
Hiyo mikoa mitatu, hata ndege za kwenda huko huwa zinajaa wageni wengi kuliko wenyeji