Kweli hakuna jipya chini ya jua, hiyo story na mimi yalinikuta , ivo ivo , ilikuwa 2016 kipindi nipo chuo flani , nilidate na bint kama mwaka ivi kipindi tunakaribia kumaliza akasema anataka mtoto ,tukafanya kweli. Tukamaliza sasa alipofika kwao akaniambia hawezi kuishi kwao anataka aje aishi kwetu , nikamwambia haiwezekani kwa sababu bado sina kitu ila nikipata chochote ntakuwa namtumia , badae nikaja kupigiwa simu na some one aliyejitambulisha kuwa ni mumewe na akasema nimuache mkewe ,,kila nikimtext demu iwe wasap au text za kawaida jamaa alikuwa anadaka mawasiliano badae demu akapotea nae akaniblock after some months akanitumiaga pic akasema nakaribia kujifungua , akaniblock tena mpka leo kuna siku nikapiga simu akasema alijifingua salama ila hataki nimtafute tena na mtoto anae wa kike. Nilijaribu kuwatafuta rafiki zake wamuelekeze akawajibu shit kwamba waongelee mambo mengine ila sio mtoto.
Mpka leo alishabadili laini kuna siku nikaonaga pic za harusi duu , sijui kama ntakujaga kumpata mwanangu,,
Sent using
Jamii Forums mobile app