Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,595
- 65,037
- Thread starter
- #81
Inawezekana mkuuok nikutakie mapambano mema
mwaka huo hata mimi ndio nilikuwa first year mkuu its seems tunalingana mkuu
Inawezekana mkuuok nikutakie mapambano mema
mwaka huo hata mimi ndio nilikuwa first year mkuu its seems tunalingana mkuu
Mkuu ulimwagaa ukakimbia sasa umerudi kudai mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana mkuu
Shukrani mkuuKila lakheri.
Ni kweli,ujana una mwishoUtu uzima umekujia na busara... shukuru Mungu pia
ha ha ha ha nadhani wahanga ni wengi kwenye hili...hasa wanaokula kimasiharaMkuu ulimwagaa ukakimbia sasa umerudi kudai mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
easy, mtoto alihitaji kuanza secondary, uwezo wao mdogo ulikuwa, so nikakubaliana mzazi mwenzangu, akawajulisha wazazi wake, nikaenda mwenyewe tu bila mtu mwingine kutoka kwangu, leo hapa ndio mdada mkubwa kwangu....Mchakato ulikuwaje mkuu?
Safi sana mkuu,hiyo ni 'nature' ndio ilirahisisha mambo mkuu; natamani nami pia iwe hivyo.easy, mtoto alihitaji kuanza secondary, uwezo wao mdogo ulikuwa, so nikakubaliana mzazi mwenzangu, akawajulisha wazazi wake, nikaenda mwenyewe tu bila mtu mwingine kutoka kwangu, leo hapa ndio mdada mkubwa kwangu....
ni nani alikupa ruhusa ya kutumia sura ya equation x kwa mtoto wa mwanaume mwingine! Huo ni ukiukwaji wa hati miliki.
Mimi ndio mama wa mtoto nilizaa na mtu mwingine sio wewe
kuna mtaalamu mmoja alisema,ukiwa unakula nyanya chungu nyingi kipindi cha ujauzito...mtoto anaweza akafanana na mjumbeSura yake yeye ndio ina kiherehere ilifata nini kwake mtoto wa watu
Hahaha lohkuna mtaalamu mmoja alisema,ukiwa unakula nyanya chungu nyingi kipindi cha ujauzito...mtoto anaweza akafanana na mjumbe
Ndio hivyo,....ukiamua kubeba jitahidi ule vitu vizuri vizuri ili mtoto afanane na baba mzaziHahaha loh
SawaNdio hivyo,....ukiamua kubeba jitahidi ule vitu vizuri vizuri ili mtoto afanane na baba mzazi
Nalichukua hili mkuu,ingawa anaweza kuhisi labda nataka nipashe kiporoAnzisha mawasiliano ya kawaida kama old time friend then after hapo mnaweza kuzungumzia mtoto.
Usionyeshe kama unajua kwamba ana mtoto wako kwa hatua za mwanzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnakuwa haraka sana,si ajabu nikisimama na wewe ukaonekana kama dada yangu
Mafurushi haya taabu tupu.Wanaume mna roho ngumu hamuwezi fananishwa na kiumbe chochote hapa duniani. Ulivyoona mtoto amekua unamtamani. Mama yake amepitia mangapi katika hatua za kulea huyo mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka tusaidie kulea mkuuMafurushi haya taabu tupu.