Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Kuna jamaa katoka dar leo kafika mlangoni kwa watu kapiga chafya wenyeji wote wakapasha..Tumia hiyo mbinu mkuu unajinyakulia mtoto swaf kbs.
ha ha ha ha huu ugonjwa mkuu unapoteza uzalendoKuna jamaa katoka dar leo kafika mlangoni kwa watu kapiga chafya wenyeji wote wakapasha..Tumia hiyo mbinu mkuu unajinyakulia mtoto swaf kbs.
Na Sasa akikupa mtoto uko tayar kukaa nae kwenye family yako ya sasaSikutelekeza,kwa sababu kwa mara ya mwisho namtembelea chuoni hakuniambia kama ana ujauzito wangu.Ila kuna siku ba mdogo wangu alinitembelea nyumbani kwangu,akaniuliza ujaacha mtoto kwa mdada fulani?.....nilikanusha kwa sababu nilihofia anaweza kuleta mtafaruku kwa familia yangu ya sasa.
Hapana mkuu kama damu yako lazima itakuja tuHofu yangu mama yake anawezakukana si mtoto wangu
Nimemuachia tu mama yake,atafanya uamuzi utakaomstaili mkuuUmehakikishaje kuwa ni mtoto wako? Umempima DNA?
When it comes to 13 years old Elizabeth, Mr. Equation X, you are not the father....
Hakikisha kwanza kama ni wa kwako kweli ndiyo uanze kuhangaika. Kufanana tu siyo ishu kivile!!!
ha ha ha ha kwa nini mkuu?2006 wengine darasa la pili wengine mnagegeda 😭😭 Life is unfair 😂
Ngoja nisubiri mkuu,muda utaongeaHapana mkuu kama damu yako lazima itakuja tu
Nilikuwa na hili wazo,nitalifanyia kazi ingawa namba yake ya simu sinaMkuu nakushauri tafuta namba yake mpigie, jitambulishe lkn usizungumzie masuala ya mtoto, ili uone atakupokea vp. Then baada ya hapo ndio utajua mwelekeo ukoje.
Sitaweza,labda awe shule tuNa Sasa akikupa mtoto uko tayar kukaa nae kwenye family yako ya sasa
god is good
Ila kikubwa anza kuwa na mawasiliano na mama yake. Kuna baadhi ya wamama wanawajaza chuki watoto dhidi ya baba zao. Atamtambulisha mtoto vzr but atamjaza chuki asiwe na upendo na ww. Bora kumuwahi mapema ata akija kufanya hivyo wewe utakuwa na seemu ya kujitetea kwa mtoto, tofauti ukimwacha hd akuwe.Ngoja nisubiri mkuu,muda utaongea
Kuna wakati nafikiria,nasema labda nipotezee tu;kama atakuja kunitafuta sawa,asiponitafuta sawa pia.Ila kikubwa anza kuwa na mawasiliano na mama yake. Kuna baadhi ya wamama wanawajaza chuki watoto dhidi ya baba zao. Atamtambulisha mtoto vzr but atamjaza chuki asiwe na upendo na ww. Bora kumuwahi mapema ata akija kufanya hivyo wewe utakuwa na seemu ya kujitetea kwa mtoto, tofauti ukimwacha hd akuwe.
Huo mwili mkubwa aliupata baada ya kuzaa au kabla?? Assume ndo ulishamuoa ungemuacha kwa sababu kanenepa??Kwa kipindi kile alikuwa anataka tuishi pamoja mke/mume....changamoto iliyokuwepo,yeye alikuwa na mwili mkubwa na nilikuwa na hofu,kuja kuishi naye itaonekana nimeoa dada yangu
Si unajua maisha ya chuo,kulikuwa hakuna malengo ya muda mrefu mkuu zaidi ya kubadilishana mawazoHuo mwili mkubwa aliupata baada ya kuzaa au kabla?? Assume ndo ulishamuoa ungemuacha kwa sababu kanenepa??
Mkuu ulikuwa unapita tu hakukuwa na future kati yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu yangu,mama yake atamruhusu anifahamu?
Mama yake,ila natamani hata nitoe ushirikiano mdogo kama utaitajikaJiulize nani amemlea na kuendelea kumlea?
Na ufanye nini kufidia malezi aliyokosa toka kwako.
Mama yake,ila natamani hata nitoe ushirikiano mdogo kama utaitajika
ha ha ha ha inawezekana ikawa hivyoUmejuaje ni mama yake?
Pengine hana hata ubin wako na ameshakua adopted na kuna jibaba la kweli linahudumia.