big soap
JF-Expert Member
- Feb 22, 2020
- 242
- 323
umenena vyema mkuu wanaume ni watu wa ajabu sana.Wanaume mna roho ngumu hamuwezi fananishwa na kiumbe chochote hapa duniani. Ulivyoona mtoto amekua unamtamani. Mama yake amepitia mangapi katika hatua za kulea huyo mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app