jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Buku mbili nyingii
Wanakuja kwa kasi pm nadhani hapa wanaogopa kuonekana kama nao wamo, nashukuru mpaka muda huu nipo na Miss natafuta hapa tunaimalizia pochi.wapi warembo wa humu ndio kujifanya hamuuoni huu uzi au?
Bora tu aniachie nauli ili nifike kibandani kwangu.Then uje nikuuzie wallet kwani kwa ramli yangu utakayempata lazima ajipindue nayo.
View attachment 452496 View attachment 452496
Aibu zitawaua......mimi sina maneno mengi wala masharti, bali pesa nje nje.Warembo fursa hiyo,itumieni vema.
Wazo zuri na nitalifanyia kazi.Hizo fedha anzisha biashara.chukua 10000 nenda mwananyamala au Sudan temeke ugonge mara mbili
Napatikana pm na noti nimesha ongeza nyingine.Unapatika wapi mkuuu nataka nikutafute hicho kitita kimenivutia.
Maneno ni pm maana watu wenye pesa hatuwezi kuongea sana.Huyu nimekutafutia
Hizi noti ni maalum kwa warembo....Duh! Kuwa makini bro,kuna mashoga humu yakikupm usisahau leta mrejesho hapa...
Baaasi sawa usiache nyama yoyote wewe tafuna tu, tena ikiwezekana wapige kwa awamu.Wanakuja kwa kasi pm nadhani hapa wanaogopa kuonekana kama nao wamo, nashukuru mpaka muda huu nipo na Miss natafuta hapa tunaimalizia pochi.
Hahahahaaaaaaaaaaaa pm ndo mkoa ganiNapatikana pm na noti nimesha ongeza nyingine.
Ndipo kwenye kutajiwa ramani yote.Hahahahaaaaaaaaaaaa pm ndo mkoa gani
Vijana wamezoea kutaka wachumba humu kinyonge nyonge ndiyo maana hawafanikiwi, mimi jana moja tu pm kumejaa warembo wote maarufu humu[emoji41] [emoji41] [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mtu anafaliwa na chake na siku hizi hawakawii kuzikopa.Mkuu, naona umeshakomba mafao yako yote ya NSSF...
Tehe, hii tabia nimeikimbia hukooo insta... , maana nlikuta asilimia 70 ya follower wangu ni pungaz, na huku wapo kweli? Au jokes tu mkuu?Duh! Kuwa makini bro,kuna mashoga humu yakikupm usisahau leta mrejesho hapa...
Wengine wanajinadi wazi wazi, ukitaka kuwajua utawakuta kwenye nyuzi za maada hizo.Tehe, hii tabia nimeikimbia hukooo insta... , maana nlikuta asilimia 70 ya follower wangu ni pungaz, na huku wapo kweli? Au jokes tu mkuu?