Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Pangeni bei tu na mimi nitamimina pesa na hapo nyumbani mambo yatakuwa mazuri na kile kibanda chenu mtakipiga rangi.Sina uhakika wa unga Leo! Sema kabisa utalipa bei gani maana sihitaji kudalaliwa! Mke wangu anamalizia kujipodoa aje.
Tumeshafika hapaSina uhakika wa unga Leo! Sema kabisa utalipa bei gani maana sihitaji kudalaliwa! Mke wangu anamalizia kujipodoa aje.
Kijana mbona kama unanuia uchawi wa chuma ulete? Anhaa itakuwa unataka kunikopa, hapana sikopeshi mtu pesa bali natafuta mrembo na pesa itaongea.Baluka moto na ngai baluka ngai liwa bamekola basuka bamama se mongaimbo lisolo oyo ya ngai ekoma mosala na kati ya lisango na bondako na nganga
Wote waliokuja pm wanataka ndoa kabisa nimewaambia hii ni kwa leo tu ndiyo nimepanga kumwaga noti, na akipatikana hiyo pochi atakaa nayo yeye maana nitakuwa nipo maji.Naona hata wallet haifungi itabidi uitumbukize kwenye pochi ya kipochimanyoya akusaidie kubeba na kukutolea kila unapotaka kulipa bill,au umwachie majukumu ya kuzi~clear.
Then uje nikuuzie wallet kwani kwa ramli yangu utakayempata lazima ajipindue nayo.Wote waliokuja pm wanataka ndoa kabisa nimewaambia hii ni kwa leo tu ndiyo nimepanga kumwaga noti, na akipatikana hiyo pochi atakaa nayo yeye maana nitakuwa nipo maji.
Mkuu, naona umeshakomba mafao yako yote ya NSSF...
Sina uhakika wa unga Leo! Sema kabisa utalipa bei gani maana sihitaji kudalaliwa! Mke wangu anamalizia kujipodoa aje.
Unapatika wapi mkuuu nataka nikutafute hicho kitita kimenivutia.View attachment 452371Siongei sana.
ole wakoWarembo fursa hiyo,itumieni vema.
Mwananyamala sehemu gani???Hizo fedha anzisha biashara.chukua 10000 nenda mwananyamala au Sudan temeke ugonge mara mbili