Nataka mkopo wa 6milioni, dhamana nyumba ya vyumba vitatu, sina hati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka mkopo wa 6milioni, dhamana nyumba ya vyumba vitatu, sina hati

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rutunga M, Apr 6, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Wakubwa nimejenga nyumba ya vyumba 3 tu,choo,bafu(tayari na umeme na inaendelezwa upande wa pili kwa kwa vyumba vingine 3 ,vimefika kwenye kuezekwa na ni kwenye viwanja hivi vya kuuziana,(kwamba viwanja havijapimwa na sina hati ya nyumba).Lakini nataka kukopa tsh milini ksti ya 5 na 6,hvi niende benki ipi? mimi nina account NMB na CRDB na nyumba yangu iko nje ya Dar(mikoani lakini mjini).

  Nisaidie niendleze ka-project kangu
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... natumaini unataka kuchukua mkopo kwa ajili ya kuendeleza au kumalizia ujenzi wako ..... mikopo ambayo ni unsecured kama hiyo inatolewa pale unapokuwa unayo biashara na hiyo biashara ndiyo inakuwa security .... sasa kama unajenga hiyo nyumba ... je itaingizaje pesa za kulipia rejesho (repayment) pamoja na riba...? Akiba Commercial Bank wanaweza kukupa kwa kutumia guarantee ya serikali za mitaa na mahakama lakini lazima uwe na biashara yeyote inayoonyesha ndiyo italipa mkopo ....
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Rutunga.

  Mkuu unaweza kuwatumia maafisa ardhi katika halmashauri unayoishi wakakupimia [wakaweka becons] na kukutengenezea hati amabayo itakubalika bank yoyote.
   
 4. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mkubwa Hukunielewa !,mimi siyo mjinga kiasi hicho wa kutaka kukopa kwa ajili ya kumalizia nyumba,nimesema nina project Fulani inayoendelea ambayo nataka kuongezea mtaji.Jenga utaratibu wa kuelewa thread za watu kabla ya kutoa judgment zisizo na tija,hata hivyo naheshimu mchango wako.
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Wakopeshaji watatengenezaje mortgage deed (Legal Mortgage) kama nyumba haina hati wala leseni ya maklazi?
   
 6. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35

  I term that as narrow minded. sorry
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona mkali hivyo. Kwani LAT amekujibu vibaya?
  Hata hivyo wewe sio mjinga kiasi cha kushindwa kujua bank gani ukakope. Sawa eeh!
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa. Ukiwa una shida halafu unatoa dharau hata kama mtu anataka kusolve shida yako ana hairisha.
   
 9. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mtu kama huyo ni kumwacha akakope wamfilisi. Hao ndio wanaokopa bila kuelewa mikataba ya benki kuhusu mikopo. wanajikuta wanalipa more than what they had planned.
  Kuna jamaa wa humu JF alianzisha thread inayosema "The trouble with this world is that the stupid are confident and the intelligent are full of doubt"
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu..... nimetoa ushauri kutokana na details za thread yako ... mkuu ungeweza kupata ushauri mzuri kama thread yako ingekuwa transparent and detailed ili ueleweke ...... unless otherwise i withdraw my post and all the best ....
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  do i need to say more ...

  thanks prime dynamics
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,055
  Likes Received: 24,059
  Trophy Points: 280
  This is gentlemanship!...... seconded!
   
 13. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
   
 14. Kazakuku

  Kazakuku JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kama mtumish wa selikalini tuwasiliane no tigo 0656874027
   
 15. u

  ureni JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Rutunga tueleze hako ka-project ni kaproject gani tukichakachue hapahapa kama kina lipa kwa kiasi gani manake hata benk watahitaji kujua,si unajua tena waswahili wanasema mficha uchi hazai.
   
 16. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, punguza hasira jamaa wanakueleza jinsi ya kufanya mambo kwa faida yako naona unakuwa mkali!
  umeweka pandiko lako jamvini pokea maoni kutoka kwa wachangiaji mbalimbali then chukuwa yale yatakayokufaa yafanyie kazi
   
 17. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kichaa aasemi kama anamatatizo ya hakili, na mjinga hajui kama yeye ndiyo.....
   
 18. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu chatudume,
  Umesema kweli, jamaa anataka maoni ya wapi akakope but anajifanya mjuaji. Nimesoma bandiko lake kwa kurudia rudia lakini hata mimi sijaona sehemu inayoeleza project nyingine aliyonayo zaidi ya nyumba anazodai ziko kwenye finishing stage.
  Ni rahisi sana mtu yeyote ku-spot kwamba project ya huyo jamaa ni umaliziaji wa nyumba zake.
  Namshauri amuombe radhi ndg LAT ambaye mara zote amekuwa positive sana katika michango yake, na wengi tumefaidika nayo.
  Mwisho kabisa, aombe mods wafute bandiko lake na aweke lingine ambalo atatoa maelezo ya kutosha kuepuka mikanganyiko.
  Thanks
  <br />
  <br />
   
 19. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu Rutunga M nimesoma kwa kina ushauri wa LAT sikuona sababu ya wewe kumjia juu hivyo maana ametumia lugha ya ushauri ambo si wewe tu utafaidika hata na wengine....sasa hasira za nini ama ulikua na lako jambo dhidi yake ukaona wakati mwafaka umefika wa kumshambulia. Ulichotakiwa kufafanua ni kusema wewe unabiashara ambayo itakuwa security ya mkopo huo na wala sio nyumba halafu ungelekezwa wapi pa kukopa....Ukijaaliwa uungwana unaweza ukam-PM kumuomba radhi.
   
Loading...