House4Sale NYUMBA YA GHOROFANI (FLAT/APARTMENT) INAUZWA UPANGA

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Ina vyumba vitatu (3) vya kulala kimoja kinachojitoshereza ( Master bedroom) vyoo viwili, ukumbi na mahala pa kula, nyumba ya kisasa ina mvoto wa ndani na nje. Jengo lina lift, genereta, gym na ulinzi 24/7
Ipo katika ghorofa ya tatu upande wa bahari.
Ina Hati,
Inafaa kwa matumizi ya makaazi na biashara(Ukiipangisha unalipwa kodi Tsh 2,500,000 kwa mwezi)
Bei 310mil ( maongezi yapo)
Hii si ya kukosa ipo katika PRIME LOCATION ya Upanga.
Kuiona au maelezo zaidi tuwasiliane kwa simu +255755312233
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom