Ubarikiwe sana. Hili nilishamuuliza huyo Agant na akasema hiyo haiwezi tokeaAngalia tuu usije ingizwa mjini. Kama unaenda hakikisha kazi yako maana wengi wanao kwenda huko wanacho kikuta na kukifanya ni tofauti na walivyo tegemea
Thanks a lot...nitakuwa makini huku nikimtegemea MunguHakikisha unaenda kwa kufuata taratibu halali, ukifika uaminifu na Nidhamu viwe mavazi yako..Be Cautious kwa hizo kazi, unaweza badilishiwa gia angani ukapelekwa Yemen,Afghanistan,Siria nk nk.
Anyway..Let your hunger of success be stronger than your fear of failure
unanikumbusha story moja inaotwa geza anasakwa auwawe. Jamaa alienda kutibua mipango ya mabosi kama hao wanaonunua watu kwenye minada na kuwageuza watumwa ndani ya jengo. Mnakaa hata miaka mitano bila kutoka nje na hakuna anaejua duhUjinga huanzia kwa madalali yaani wakati mnaondoka kichwani mwako kazi ni security ukifika kule mnapigwa mnada kwa maboss wa kiarabu so omba upate boss mstaaarabu na muelewa la sivyo yanatokea mambo ya kunyang'anywa pasport na kuwa mtumwa kwenye jengo ambalo linalindwa na walinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wavunja yaiContract ya kazi ieleweke kabisa la sivyo utarudi bila password huko kwa nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni muhimu , but nasikia hiyo ujinga hufanyiwa wasichana na ni Saudi sio Qatar na dubaiContract ya kazi ieleweke kabisa la sivyo utarudi bila password huko kwa nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana. Nasikia huwezi pesa passport na boss mpaka siku ya kurudi .na mkataba ni miaka 2Ujinga huanzia kwa madalali yaani wakati mnaondoka kichwani mwako kazi ni security ukifika kule mnapigwa mnada kwa maboss wa kiarabu so omba upate boss mstaaarabu na muelewa la sivyo yanatokea mambo ya kunyang'anywa pasport na kuwa mtumwa kwenye jengo ambalo linalindwa na walinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, nasikia mshahara huanzia 22000ksh hadi 67000ksh inategemeana na ukubwa wa kaziKama Ni kazi ya agent uliza mshahara utalipwa kiasi gani Maana kazi nyingine za Gulf unajipata mshahara wako uliouacha huku Ni mkuwa kuliko huko unakoenda, Na mishahara yao mara nyingi haizidi 40k kshs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante bossNenda mkuu, nenda usirudi nyuma, sina uwakika na Dubai lakini Qatar kuna namba kubwa sana ya raia wa Afrika mashariki hasa kenya na Tz, kwa ambae amefika Doha miaka ya hivi karibuni atakubaliana na mimi, kimsingi usichague kazi, ili mradi iwe ya halali, ukifika Hamad I.A pale doha utakutana na vijana wengi wakisafisha maeneo ya Toilets huku wakiongea lugha ya kiswahili.
Ulitegemea atakubali?Ubarikiwe sana. Hili nilishamuuliza huyo Agant na akasema hiyo haiwezi tokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu yupo ataniepusha na hayounanikumbusha story moja inaotwa geza anasakwa auwawe. Jamaa alienda kutibua mipango ya mabosi kama hao wanaonunua watu kwenye minada na kuwageuza watumwa ndani ya jengo. Mnakaa hata miaka mitano bila kutoka nje na hakuna anaejua duh