Nataka kwenda Qatar au Dubai. Maisha ya huko yakoje?

nenda qatar ya sheikh Tamim
20190124_115958.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana , je ni mji gani unaweza nishauri niende kwa dubai au Qatar coz Agent ameniambia nitachagua town yenye nitapenda atume maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dubai ni dubai haina mji mwingine ila kuna nchi 7 zimeungana ikaitwa united arab emirates.kama vile tanganyika na zanzibar zilivyoungana ikaitwa tanzania ukipewa viza unaweza kwenda dubai ,abudhabi,sharjah,ajman,umm guwein, rasilkheima,fujeira hizo ndio nchi zilioungana

Kati ya Qatar na UAE wapi rahisi kupata kibarua na kuishi kwa amani na usalama kama RAIA mweusi wa kigeni.
 
Habari za wakati huu wana JF,

Bila kupoteza muda mimi ni kijana wa Kitanzania ninayeishi nchini Kenya kwa sasa, maisha ya huku sio mbaya lakini kutokana na shauku yangu ya kutaka kufanikiwa kimaisha au kufikia malengo yangu niliyojiwekea, natamani tena nisonge mbele ya hapa nilipo.

Nilipokuwa nawaza pa kwenda nilipatana na rafiki mmoja aliyeniambia kuna fursa za kwenda kati ya hizo nchi mbili nilizotaja hapo juu.

Nikaona sio vema niende pasipo ichunguza vizuri, nikaona sehemu ya kuweza kupata msaada zaidi juu ya hizi nchi mbili ni hapa JF. So naomba ndugu zangu mnisaidie kuniambia kuhusu hizi nchi mbili kwa aliyewahi kuishi huko kikazi au kutembelea tu.

Kinachonipeleka Dubai au Qatar ni kwenda kufanya kazi ya Security.

Asanteni kwa ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Sana kwa kutaka kujaribu
 
Mkuu ukitaka kusaini deal vizuri kwa uhakika kwenye mji kama Dubai au nchi ya Qatar usitumie agent kukupa connection japo inaweza kuwa rahisi sana kushika mchongo lakini mara nyingi mikataba atakayokupa agent huko ukaisaini siyo mikataba utakayoisaini pindi ukifika so ni kuwa makini sana kwenye hilo
Kazi zipo ni bidii yako ya kutafuta lakini kutumia agent sikushauri mtanzania mwenzangu
 
Unahitaji kuwa na budget yako iliyotulia tu sehemu za kukaa wanakuwa nazo wakenya na watz ambazo ni sharing kule maeneno ya Sharjah Al Nahda unalipia kwa mwezi ukipata kazi unahamisha makazi
Visa ya mtanzania haichelewi labda sijui kwa wakati huu wa coco
 
vipi connection za kwenda kusoma dini kama mwamvuli wa kuishi huko zinapatikana kwa waafrika waislamu?
 
vipi connection za kwenda kusoma dini kama mwamvuli wa kuishi huko zinapatikana kwa waafrika waislamu?
kwa ilo sijajua na kama lipo basi sponsorship na mpango mzima unawezafanywa na utendaji wa bakwata
 
Back
Top Bottom