Nataka kwenda Msanga

Nataka kwenda Msanga

Msanga gesti zipo nyingi na usalaama upo wazaramo wako bize na pombe japo wavivu kulima na kutafuta lakini awana tamaa ya wizi pale msanga kuna njia panda ya kwenda chole na vikumbulu nenda ukale wali nazi

Niliambiwa kule wanawake ni wachache sana, ni kweli? kw muda nitakao kuwa huko, nitaandaa " ngoma party ya kizaramo", vipi itapata kiki? au ngoma haiwezi fanyika mpaka kuwe shughuli ya kumtoa mwali?
 
Sana Mkuu me naishi huku na Dar,nikiona Dar kumebana nakuja huku nina mashamba kbao!Mvua zikianza uje uchukue digi digi na Mzee wa meza kitu cha pori kama unatumia.Karibu Msanga sokoni,nawaona shemeji zangu Wachaga na wapinzani wao Wakinga na Wapemba wanakuja kununua maeneo huku.
Agweyee mya yangu nikuhungile kuniulika?....anyways asante sana kwa taarifa mkuu nitakuja tena msanga
 
Nataka kwenda Msanga, nataka kwenda Msanga oooh nauli sina -Gangwe Mobb "Ngangali Kinoma"

Ukitaka kwenda Msanga lazima uwe ngangali kinoma, la sivyo utarudi na binti wa Kizaramo.

Au unaweza kuhamiabusirudi kabisa wakishakupunga madogoli.

Anasema " Nataka kwenda msanga, oooh nauli nabure".Nauli na bure kwa kizaramo maana yake nauli sina..ni jiina la wimbo maarufu wa kizaramo mtindo wa segere ambao Leo hii unaitwa singeli....Gang we mobb walifanya kugeza hicho kipengele....Sentensi ya pili anasema " kulonda kazi ya muziki ugangamale". Kwa wasio jua kulonda maana yake ni kutaka
 
Nataka kwenda Msanga, nataka kwenda Msanga oooh nauli sina -Gangwe Mobb "Ngangali Kinoma"

Ukitaka kwenda Msanga lazima uwe ngangali kinoma, la sivyo utarudi na binti wa Kizaramo.

Au unaweza kuhamiabusirudi kabisa wakishakupunga madogoli.

Anasema " Nataka kwenda msanga, oooh nauli nabure".Nauli na bure kwa kizaramo maana yake nauli sina..ni jiina la wimbo maarufu wa kizaramo mtindo wa segere ambao Leo hii unaitwa singeli....Gang we mobb walifanya kugeza hicho kipengele....Sentensi ya pili anasema " kulonda kazi ya muziki ugangamale". Kwa wasio jua kulonda maana yake ni kutaka
 
Niliambiwa kule wanawake ni wachache sana, ni kweli? kw muda nitakao kuwa huko, nitaandaa " ngoma party ya kizaramo", vipi itapata kiki? au ngoma haiwezi fanyika mpaka kuwe shughuli ya kumtoa mwali?
Ni kweli wazaramo kule ni wachache wengi wao wamekimbikia mijini sababu wanapenda sana raha waliobaki no watu wazima na si walembo sana vizia siku za ijuma mpaka Juma pili wanakuja ngomani ni utachagua unae mtaka pesa yako tu wanapenda vitu viziri balaa bila kusahau angusha pombe ya mnazi nyingi ya kutosha na gongo bia kidogo uku unachungilia mfuko wako unapungua ukipungua nunua gongo bado watakushangilia huku unakandwa kandwa wazalamo kwa mahaba awana aibu ata mbele za watu anakuonyesha mahaba popote yaani kama wazungu vile
 
Kumbuka hizo gari zote mwendo wake kama za magazeti Gesti ziko sh 5000 mpaka 2000 pamechagamka sana kuliko mahali popote ndani ya hiyo wilaya.Huko Zalala nenda mpaka chanika ndo utapelekwa Msanga Zalala.Karibu sana uzaramoni.Ukija wikiend hii kuwa makini unaweza sahau familia,kuna watu wapo huku hawajarudi kwao.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wazaramo watundu
 
Niliwai kufanya utafiti kuhusu maswala ya sayansi ya afya mwaka huu mwez Wa saba katika moja ya vijiji huko kisarawe mi nilikua kijiji kimoja kinaitwa kazimzumbwi ni Wa kalimu ila wajuaji sana aise
Ulijifanya Wa mjini ukafikiri hao Wa kijijini pole wazaramo ni wajanja sana na wanaongea sana me na ke wote waongeaji na wacheshi ila wavivi na kauoga cha kusubutu na ni watu Wa kulizika na kidogo na awapendi manyanyaso japo ni wavumilivu
 
bintishomvi inaonekana wewe mwenyeji sana pale msanga.. Kuna jamaa anaitwa Mboga, unamfahamu? Nimeku pm..
 
Msanga raha...Maisha yapo chini na fursa zipo kibao ...njooni tuwekeze msanga
 
Msanga kuna sekondari mwlm mkuu ni mdogo wangu. Njoo pm nikupe simu na introduction
 
Back
Top Bottom