Nataka kwenda Msanga

Nataka kwenda Msanga

Nenda buguruni sokoni, panda ma-bus ya msanga...
Pia kuna option ya Noah ambayo ipo fast sana ila ni kubahatisha pale gongo la mboto au hukohuko Buguruni sokoni...
Kwa pale sijaona guest house ila maneromango kuna guest ya 5000. Pale na Msanga sio mbali sana...
Huu ni muda wa mavuno kwahyo kama unataka kufanya utafiti inabidi uandae kiasi kidogo cha kuweza kuwalipa ili waache shughuli zao wakupe majibu unayoyahitaji...
Huko huko ndio Msanga Ngongele? Muda wa kuwacheza na kuwatoa wali ni lini hasa?
 
Msanga ngongele umefika?
Msanga sokoni, ambayo tayari nishafika. Hiyo msanga zalala sijafika bado, i think next time i have to go msanga zalala..Kati ya Zalala na sokoni ipi imechangamka? And wapi karibu kutokea chanika?
 
Msanga Zalala ni shamba tu pana geti hapo na vijumba jumba basi hamna lolote.Msanga sokoni pamechangamka watu pale mpaka jioni au wikiend ndo utaona kuna watu wengi.
 
Msanga Zalala lazima upite chanika.Kama utataka kwenda Msanga zalala kutokea Msanga Soknm itakulazimu urudi nyuma mpaka Masaki au Kibuta kuna njia panda hapo.
 
Msanga Zalala ni shamba tu pana geti hapo na vijumba jumba basi hamna lolote.Msanga sokoni pamechangamka watu pale mpaka jioni au wikiend ndo utaona kuna watu wengi.

Okay mjomba nimekusoma..Ninaenda kesho msanga sokoni, nitakaa huko mpaka, ijumaa ijayo..nafanya reseach huko kaka..nataka nikiwa huko, niandae kitu kama ngoma hivi, ili nipate fursa ya kukutana na toto mbili tatu za kizaramo...
 
Msanga Zalala lazima upite chanika.Kama utataka kwenda Msanga zalala kutokea Msanga Soknm itakulazimu urudi nyuma mpaka Masaki au Kibuta kuna njia panda hapo.
Ninacho penda kuhusu msanga,. gharama za maisha zipo chini sana.
 
Sana Mkuu me naishi huku na Dar,nikiona Dar kumebana nakuja huku nina mashamba kbao!Mvua zikianza uje uchukue digi digi na Mzee wa meza kitu cha pori kama unatumia.Karibu Msanga sokoni,nawaona shemeji zangu Wachaga na wapinzani wao Wakinga na Wapemba wanakuja kununua maeneo huku.
 
Msanga sokoni, ambayo tayari nishafika. Hiyo msanga zalala sijafika bado, i think next time i have to go msanga zalala..Kati ya Zalala na sokoni ipi imechangamka? And wapi karibu kutokea chanika?
Mkuu unaonekana unauliza maswali ambayo tayari ulishayajua. Vipi ulisharudi umakondeni?
 
Nataka kwenda Msanga, nataka kwenda Msanga oooh nauli sina -Gangwe Mobb "Ngangali Kinoma"

Ukitaka kwenda Msanga lazima uwe ngangali kinoma, la sivyo utarudi na binti wa Kizaramo.

Au unaweza kuhamiabusirudi kabisa wakishakupunga madogoli.
Mabinti bomba wa Kizaramo walioumbwa na Mungu....ahahah😀😀😀😀
 
Niliwai kufanya utafiti kuhusu maswala ya sayansi ya afya mwaka huu mwez Wa saba katika moja ya vijiji huko kisarawe mi nilikua kijiji kimoja kinaitwa kazimzumbwi ni Wa kalimu ila wajuaji sana aise
 
Niliwai kufanya utafiti kuhusu maswala ya sayansi ya afya mwaka huu mwez Wa saba katika moja ya vijiji huko kisarawe mi nilikua kijiji kimoja kinaitwa kazimzumbwi ni Wa kalimu ila wajuaji sana aise
Kijiji gani?
 
Niliwai kufanya utafiti kuhusu maswala ya sayansi ya afya mwaka huu mwez Wa saba katika moja ya vijiji huko kisarawe mi nilikua kijiji kimoja kinaitwa kazimzumbwi ni Wa kalimu ila wajuaji sana aise
Kazi mzumbwi karibu sana ndio maana wanajifanya wajuaji
 
Nataka kwenda Msanga, nataka kwenda Msanga oooh nauli sina -Gangwe Mobb "Ngangali Kinoma"

Ukitaka kwenda Msanga lazima uwe ngangali kinoma, la sivyo utarudi na binti wa Kizaramo.

Au unaweza kuhamiabusirudi kabisa wakishakupunga madogoli.
Hiyo msanga ya mtwara au[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Asante sana kaka kwa majibu mazuri. Haya ndio majibu niliyokuwa nayatarajia. Kutoka Buguruni hadi Msanga ni masaa mangapi? Unasema Msanga hakuna gesti, so itanibidi nilale gesti Mwaneromango? Mambo mengine ambayo nigependa kujua kuhusu msanga ni kuhusu usalama wa raia pamoja na uwepo huduma muhimu za kijamii....
Msanga gesti zipo nyingi na usalaama upo wazaramo wako bize na pombe japo wavivu kulima na kutafuta lakini awana tamaa ya wizi pale msanga kuna njia panda ya kwenda chole na vikumbulu nenda ukale wali nazi
 
Vitu vingine inabidi uipe nafasi akili ifanye kazi yake, coz akili pekee ni uchawin tosha, vinginevyo unaweza jikuta unamroga mke wako asahau kuomba hela ya matumizi nyumbani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jf laha
 
Msanga ...panda GARI had gongolamboto; halafu. Panda za chanika, ukifika chanika panda za kwenda MSANGA ZALALA A.K.A MSANGA, KUNA VUMBI JEKUNDU HATARI, HAKUNA NETWORK LABDA AIRTEL ...UMEME HAMNA KULE NI MWENDO WA SOLAR TU, JUA KALI SODA ZA BARIDI HADI WAPANDE DARADARA KUTAFTA; GARI LIKIKUACHA INABIDI HADI ULISUBIRI LILUDI TENA....Kiwanja wanauza Kwa kurusha jiwe ndio kipimo,
Muongo ulienda enzi za nyerere ,
Umeme upo kwa sasa mpaka chooni Gari ni buguruni sokoni tena dar express zipo zina wasafirisha wazaramo wameiona frusa na safari ni masaa 3 barabara ni ya vumbi lakini ni nzuri wawekezaji wamejazana huko uvivu wa wazaramo wachaga wanachungulia huko
 
Back
Top Bottom