Nataka kwenda kuchora Tatoo

Duuh..Yashakua hayo..Haya bana...Ila najua hao ni wafitini tu ndo wamekujaza maneno
Kwani hujaoa kweli bby? Maana nimeona shemeji nyingi sana humu ndo maana nikaamini maneno niliyoambiwa.
 
Kwani hujaoa kweli bby? Maana nimeona shemeji nyingi sana humu ndo maana nikaamini maneno niliyoambiwa.
Hao Wananzengo achana nao...Wengine hawajui hata maana ya shemeji,wanajiitia tu...
 
Nahisi nakufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh hizo nazo akili kweli unachafua mwili wako kisa ukumbusho unaoweza kuutunza kichwani au nataka uonekane msanii.Na kma ni muislam ni haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chora matakonii utamkumbuka zaidi ukienda kunya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tattoo aisee Mh! kuna watu wameanza kuweka mpaka usoni! Na wengine miili yao imejaa tattoo kila sehemu ya miili yao hata kupoteza ile rangi ya miili yao, lakini kuna baadhi zinapendeza mno hasa kwa warembo zilizowekwa kwa utalaamu mkubwa.

Mmmh mi sijawahi kuona tattoo inapendeza. Sijui sababu nishajua hairuhusiwi basi akili imegoma kabisa kuona kama inapendeza popote pale.
 
Reactions: BAK
Achana na hiyo mambo.

Watu wengi waliojichora, nimegundua wengi wanajuta na wanataka wazifute.

Ni mambo ya mpito tu.

Huyo Mtu muhimu kwako kama ni Mpenzi, nakushauri usipoteze muda wako.

Mapenzi yenyewe haya tuliyonayo kudumu ni ngumu sana
 
Hapo dam bado ya moto unamkumbuka huyo MTU
Siku ukija kumkinai sasa,,,itabidi uandae pasi ya mkaa kabxaaa kulifuta hilo jina[emoji1]

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…