Hahaaa nacheka sana na mbwembwe zako za umaliziaji msgUkichora ya bae wako pale chini kabisa utakuwa umemtendea haki asee. Begani hakuna mvuto hata kidogo ujuwe, halafu ukichora ya 'uziguani' mtakuwa mnaona wawili tu na bae wako.[emoji12]
Can't imagine myself screwing a lady with demonic tattoos, sounds romantic[emoji12] [emoji125]
I wishSorry mummy but it looks like you have already made up ur decision, all the best
Nakuja kesho na unipeleke kwa HR666
Yes, Heaven Received, on point[emoji108]Mambo ya Walawi 19:28
"Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana".
Dhambi tunazo ila hatuzitangazi wala kuzinadi..Hivi unadhani visomo mlivyovisoma nyie madrasa mie sikusoma!? Au dhambi kwangu mie lakini nyie mwafanya machafu yenu huko na kuna watu ni vinara kabisa mpaka wa kutukana matusi ila hamuoni kua ni dhambi? Kama viboko nitachapwa kwa dhambi hiyo moja tu basi navingojea,sina jeuri na mtu na kushukuru huja baada ya kupata unalolihitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1]I wish
Nakuja kesho na unipeleke kwa HR666
KaribuInaonekana huyu dada LadyAJ ana historia ndefu humu ngoja niangalie threads zake.
Angalau umenipa m badala,watu wanaongea sana humu as if hii kwangu itakua dhambi ya kwanza tangu nizaliwe au kwao itakua dhambi ya kwanza kuisikiaYes, Heaven Received, on point[emoji108]
Kwanza tattoo zilikuwa zinawekwa kwa soldiers, maana its a symbol for a warrior. To me, a woman should be feminine. Having a tattoo gives me a wrong impression, that you are trying to look muscular.
My advice, LadyAj, na jina lako lilivyo zuri, nunua saa mbili, brand za maana, Rado, Rolex, Omega alafu waambie waandike majina yenu. Trust me, its much better. LadyAJ
-callmeGhost
Najisikitikia kua mtu wa kwanza kutangaza dhambi jfDhambi tunazo ila hatuzitangazi wala kuzinadi..
Maa'ssalam[emoji119]
Nimekuelewa vizuri sana, na ni zaidi ya unavyofikiria.Usikariri kua kila binadamu ana matatizo na mapenzi,alafu nielewe vizuri kwenye Uzi wangu sikuomba ushauri,mengine niachie mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Utachora wapiNtachoraga labda baaadaee
Shingoni,,ka shingo kangu kazurii kanapendwa kunyonywaaaUtachora wapi
TehShingoni,,ka shingo kangu kazurii kanapendwa kunyonywaaa
Ntachora ya nyoka ili wakaache
Maisha yangu hayafanani na mtu yeyote,mume niliyenae ana matatizo yake kama binadamu na wanaume wengine ila Mimi nampendea usikivu wake,kwani kuna tatizo Mimi kuchora sentimita chache jina la baba watoto wangu? Sidhani alivyonipa hata Leo akiniacha kwa talaka 3 si mwili tu ndio utamkumbuka Bali hata vitu vya thamani alivyonikusanyia mkewe, nampenda na natamani nimchore hata mawinguni sema uwezo huo sina,acha aishi begani mwangu kwa watoto wa 3 hawa nilionao akiondoka yeye sifikirii kuolewa tena!Nimekuelewa vizuri sana, na ni zaidi ya unavyofikiria.
Pamoja ya kuwa hukuomba Ushauri.
Nilichojaribu kukuambia ni kwamba achana na hiyo kitu, haina mpango au kwa lugha nyingine usithubutu.
Wenzako walonazo wanajuta.
Kwasasa kwakuwa una shauku nayo utaona haina tatizo, lakini baadae utakapokuwa nayo ndio utaona ya kuwa haina maana.
Halafu nikija kwenye Mapenzi, kwa huu Ulimwengu tuliokuwa nao!
Labda Malaika peke yake.
Hakuna Mapenzi yanayokosa misukosuko, nakataa.
Hakuna kitu kama hicho
Haya basi LadyAJ.Maisha yangu hayafanani na mtu yeyote,mume niliyenae ana matatizo yake kama binadamu na wanaume wengine ila Mimi nampendea usikivu wake,kwani kuna tatizo Mimi kuchora sentimita chache jina la baba watoto wangu? Sidhani alivyonipa hata Leo akiniacha kwa talaka 3 si mwili tu ndio utamkumbuka Bali hata vitu vya thamani alivyonikusanyia mkewe, nampenda na natamani nimchore hata mawinguni sema uwezo huo sina,acha aishi begani mwangu kwa watoto wa 3 hawa nilionao akiondoka yeye sifikirii kuolewa tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa wallah! [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haya basi LadyAJ.
Mimi sitokuwa tayari usifikirie kuolewa tena.
Ntakuwa tayari kuwa na wewe Bega kwa Bega.
Na ntakuOa wewe kwa ajili ya kutekeleza Suna