Mimi simaanishi Wilaya ya Bariadi..Nimesema nataka kwenda Gamboshi mji usioonekana kwa macho ya kawaida(mji wa wachawi)Gamboshi ni kijiji tu kama vilivyo vijiji vingine sema imani za kishirikina zimejaa huko ila mchana ni pa kawaida sana kama viji vingine.....ukifika bariadi panda gari za mwanza zinazopitia kasori shuka kijiji kinaitwa ngulyati then kuna pikipiki au baiskeli zitakupeleka hadi gamboshi mkuu
Kwani ukienda mwezini haurudi..Ajipange, safari ya gambosh ni sawa na safari ya kwenda kutalii mwezini
Nasikia kuna mpaka treni ya kwenda hukoNgoja Nikuitie Marubani MAARUFU Wa Air Gambosh Boeing 737 Ambao Ni Captain mshana Jr Na Co Pilot Wake MziziMkavu Watakupa UFAFANUZI Murua Na ULIOTUKUKA Wa Huko Mkuu. Safari Njema!
Ukienda huko huruhusiwi kurudi wanakunywa damu.Wakuu Habari Zenu
Nimesikia eti huko Gambosh kuna kila kitu kama hapa duniani.Mimi nataka kwenda mara moja tu kwenda kujionea kwa macho yangu na kurudi hapa duniani.
Kuna njia yoyote ya kwenda huko au ni mambo ya kukata tiketi kama za ndege...
NB:-
Ni Kisiwa cha wachawi na sio Gamboshi Wilaya ya Bariadi..
Asanteni..