Smokey D
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,631
- 2,101
Wakuu Habari Zenu
Nimesikia eti huko Gambosh kuna kila kitu kama hapa duniani.Mimi nataka kwenda mara moja tu kwenda kujionea kwa macho yangu na kurudi hapa duniani.
Kuna njia yoyote ya kwenda huko au ni mambo ya kukata tiketi kama za ndege...
NB:-
Ni Kisiwa cha wachawi na sio Gamboshi Wilaya ya Bariadi..
Asanteni..