Msikiti nyumba ya pili hujui vya kukutana nao? Huna rafiki jirani hapo ambae ni Muislam akakusaidia kukukutanisha nao basi?
Mwalimu wangu siku hizi umenikimbia kweli.
Ile ilimu uliyokuwa unanipa umemkabidhi nani anifundishe. Achana na malumbano bana.
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa sauti kubwa kwa kipaza sauti, ambayo huwa inanisababishia usumbufu mkubwa nikiwa nimelala kiasi kwamba nimeanza kufikiria kuuza kibanda changu ili kuepuka huu usumbufu, kabla sijakimbia nataka nijue kama naweza kushtaki mahakamani ili waache kufanya hivyo. Je naweza kuwashtaki? niya yangu si fidia nataka court injunction wasiendelee na huo utaratibu.

Hizo njia mkipata na mimi zitanisaidia kuna ma-bar na majirani wengine hawana ustaarabu kelele from dusk till dawn.... sijui kwanini wasitengeneze vyumba soundproof............... hiyo njia ukiipata na mie itanisaidia ! kuna Kanisa jirani yangu linaitwa "wapo" kila IJUMAA kuanzia saa nne usiku linamwagwa SEBENE mpaka asubuhi, ukizingatia KANISA lenyewe wameezeka mabati tu juu ili wasinyeshewe na mvua ! pia alipoona mgao waDOWANS unamzingua kafunga kinu kikubwa kweli cha kufua umeme, ili aliendeleze libeneke! Bora wewe unaamshwa, sie hatulali kabisaaaaa !!!!!:crying:
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa sauti kubwa kwa kipaza sauti, ambayo huwa inanisababishia usumbufu mkubwa nikiwa nimelala kiasi kwamba nimeanza kufikiria kuuza kibanda changu ili kuepuka huu usumbufu, kabla sijakimbia nataka nijue kama naweza kushtaki mahakamani ili waache kufanya hivyo. Je naweza kuwashtaki? niya yangu si fidia nataka court injunction wasiendelee na huo utaratibu.
Hizo njia mkipata na mimi zitanisaidia kuna ma-bar na majirani wengine hawana ustaarabu kelele from dusk till dawn.... sijui kwanini wasitengeneze vyumba soundproof....
Waswis walishindwa waislamu less than percent itakuwa hapa mkuu, nakuhakikishia hilo huwezi mpaka kiama
Wafikishwe mahakamani basi tutapata amani. Watu wengine wagonjwa wanapata tabu hawapati kulala au watoto wachanga.
Hii itakuwa ngumu njia bora ni kwa wananchi wenyewe kuongea na kuelezana kuwa huu sio ustaarabu na ni usumbufu kila kata inaweza ikafikisha malalamiko kwenye uongozi wa kata ili wote kwa pamoja walalamike hili sio suala la mtu mmoja....., hii issue haipo ninapokaa ila nimeshakwenda kuwatembelea baadhi ya ndugu zangu, nikajiuliza hivi hawa wanaishi vipi...
Kwani wewe huoni kwamba hii ni antisocial behaviour..... imani au starehe zako kwanini ziwe usumbufu kwa wengine... kama ni kuamshana kila mtu ana alarm clock yake au wewe unasemje.?
Nikijenga Bar mlangoni kwako au nikiwa ninaimba kwaya au disco jirani yako wewe utapenda?