Nataka kuwafahamu

Nataka kuwafahamu

huyo babu anabisha nn ngoja nitafute topaz nikate kikojoleo nikipost hapa
 
juu mwembamba chini mtihani kwa vijana shababi du
 
nimepata majirani shansarie na kiwatengu wao wapo kimanga najua wanapita madukan ntawavizia wakiwa wanarudi makwao.mana madukan ndo kwe2

ukituvizia itakula kwako maana tuna nyumba mbili kimanga na mbezi kote tunaishimimi na mumemwangu kiwatengu
ila kuna mtu anaitwa Rich Pol anakupenda kweli kanambia anaomba huwe couple na yeye hutojutia
 
Last edited by a moderator:
huyo Rich Pol hawez kufunguka mwenyewe we pol wap ulipo
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha jenereta tena du
 
Wee babu Asprin jionee huruma, kila mtu unamdaka hivi huwa unatumia mwamvuli kweli?
Usijetuacha tu yatima. Mgeni wa jana anatafuta mume naona utamfaa sana. Changamkia fursa hiyo, mi niko busy kutafuta jenereta la kumsaidia sungura1980.
 
Kabla hatujakujibu tuelimishe jinsia yako. Kama ni jinsia pendwa ya kike, then kam zis wei kwa ukaguzi. Tena uje without. Kama ni jinsia ME karibu sana Chitchat. Hairuhusiwi kutongoza warembo wa humu bila kibali changu.

Lady doctor njoo huku kwa maelekezo ya kina.

babu nimekuja japo nimechelewa aisee...... Mmefikia hatua gani? Umeshajua jinsia yake?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom